The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Haya ya Makamu wa Rais ni kwa akili ya mambo yetu ya Bara na Visiwani. Yaani Kila upande uwe na mwakilishi.Sasa kwa nini huwa tuna makamu wa Rais?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ya Makamu wa Rais ni kwa akili ya mambo yetu ya Bara na Visiwani. Yaani Kila upande uwe na mwakilishi.Sasa kwa nini huwa tuna makamu wa Rais?
Nyani Ngabu Mimi Nadhani Serikali haijavunjika kumetokea mabadiliko ya nafasi ya Rais kutokana na matakwa ya kikatiba.Mawazo yako ni kama yangu jirani.
Mama Samia alikuwa makamu wa Rais wa serikali hii hii. Umakamu wake huo wa Rais ulikuwa na maana gani kama si continuity of government endapo Rais aliyekuwepo hatokuwepo tena?....
Rais mteule? Samia alikuwa Rais mteule? Seriously?Kiapo cha VP siyo kiapo cha President, ni viapo viwili tofauti kabisa...
Rais mteule? Samia alikuwa Rais mteule? Seriously?
Huu ni upotoshaji uliolenga kitu fulani.Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya kuendelea au kutoendelea kuwapo kwa Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Hayati Raisi John Magufuli.....
Labda kwa concept ya kwamba wanakuwa voted kwa pamoja na rais wakati wa uchaguzi, ingawa bado inaleta ukakasi pia.Rais mteule? Samia alikuwa Rais mteule? Seriously?
Pia Limekuwa BUTUTLS ni kiungo muhimu sana kwa ustawi wa Taifa letu, haswa ukizingatia kwa nyakati kama hizi ambapo bunge letu limekuwa 'bubu'.
Nawaombea afya njema na baraka tele kutoka kwa Mungu Mwenye Enzi, daima msitetereke.
Halikati, haling'ati, linakunywa mtori tu 😂😂Pia Limekuwa BUTU