Chama cha walimu chama cha wafanyakazi ni wote walioko sekta ya elimu wawe madereva,wahasibu,wapishi madhuleni nkUalimu siyo taaluma? Niambie ni kitu gani kwa akili zako siyo taaluma?
Vipi kuhusu chama cha madaktari?Chama cha walimu chama cha wafanyakazi ni wote walioko sekta ya elimu wawe madereva,wahasibu,wapishi madhuleni nk
Ndio maana katibu mkuu wa chama cha walimu Tanzania alikuwa mhasibu na hajawahi kuwa mwalimu
TLS ni chama cha kitaaluma cha wanasheria tu
Mkuu, wewe ni zaidi ya GEN Z muulize mwalimu wako aliyekufundisha KKKChama cha walimu chama cha wafanyakazi ni wote walioko sekta ya elimu wawe madereva,wahasibu,wapishi madhuleni nk
Ndio maana katibu mkuu wa chama cha walimu Tanzania alikuwa mhasibu na hajawahi kuwa mwalimu
TLS ni chama cha kitaaluma cha wanasheria tu
Sasa Chama kikianzishwa na Serikali ndio kingefanya walengwa wasiwe WASOMI?Mawakili na wanachama a TLS ni watu wajivuni sana; wanajiona sana kiasi kwamba na wao wenyewe wanajitambulisha kama wasomi. Lakini TLS hawakuianzisha wao; walianzishiwa na serikali. halafu wanatupigiza kelele hapa kana kwamba ni watu wa mhimu sana kuliko wengine. wanazidiwa na walimu ambao wana CWT ambao wakizeguana wanaanzisha CWT MAREJEO wanasonga mbele.
Mimi siyo wewe baki wewe nami niendelee kuwa mimi. Nitajie taaluma nyingine hapa Tanzania wanaojiita wasomi?Sasa Chama kikianzishwa na Serikali ndio kingefanya walengwa wasiwe WASOMI?
Una hoja ulitaka kuijengea hoja Lakini kwa u-lowness wako wa fikra na wivu, umefeli. Jipange upya.
Hapa umempiga na kitu kizito mwalimu wa ngonjera na mashairiChama cha walimu chama cha wafanyakazi ni wote walioko sekta ya elimu wawe madereva,wahasibu,wapishi madhuleni nk
Ndio maana katibu mkuu wa chama cha walimu Tanzania alikuwa mhasibu na hajawahi kuwa mwalimu
TLS ni chama cha kitaaluma cha wanasheria tu
CPAMimi siyo wewe baki wewe nami niendelee kuwa mimi. Nitajie taaluma nyingine hapa Tanzania wanaojiita wasomi?
Mmmmh tuna walimu wajinga sana kwel ,huyu naye alifundisha wanafunzi wakatoboa kwel?Mimi siyo wewe baki wewe nami niendelee kuwa mimi. Nitajie taaluma nyingine hapa Tanzania wanaojiita wasomi?
Mkuu unatia huruma sana- CWT haina mwanachama ambaye ni mpishi, dreva au karani.Hapa umempiga na kitu kizito mwalimu wa ngonjera na mashairi
Wanaopiga kelele ni wachache tu kutafuta kiki hawana jipyaMawakili na wanachama a TLS ni watu wajivuni sana; wanajiona sana kiasi kwamba na wao wenyewe wanajitambulisha kama wasomi. Lakini TLS hawakuianzisha wao; walianzishiwa na serikali. halafu wanatupigiza kelele hapa kana kwamba ni watu wa mhimu sana kuliko wengine. wanazidiwa na walimu ambao wana CWT ambao wakizeguana wanaanzisha CWT MAREJEO wanasonga mbele.
Endelea kuchangia ela ya form ya mama 2025, Sheria tuachie sisiKuwa chama kimoja na Mwambukusi na BIG ANSWER Kibatala?1 SIWEZI
Sasa ujiulize ni kwa nini serikali ya kikoloni ikaona umuhimu wa kuanzisha chama kama hicho. Na kipo hata Kenya na hata Uganda. Sina uhakika ila nadhani ni nchi nyingi zilizotawaliwa na mwingereza. Unachochanyikiwa wewe unadhani kuwa ni chama cha kutetea maslahi wafanyakzi wanasheria! Ndiyo maana unafananisha na vyama vya wafanyakazi. Ufahamu wako kumbe ni mdogo sana. Umeshindwa hata kufanya research ndogo ya ku-google?Vyama vya siasa vimejipangia vyenyewe namna ya kufanya mambo yao. TLS hata katiba na kanuni ni sheria na kanuni za bunge na waziri wa sheria.
Soma sheria ya TLS; na usome pia ya NBAA, wahandisi, wagavi, NK. Lakini si wajivuni kama hawa wnaotetea changudoaSasa ujiulize ni kwa nini serikali ya kikoloni ikaona umuhimu wa kuanzisha chama kama hicho. Na kipo hata Kenya na hata Uganda. Sina uhakika ila nadhani ni nchi nyingi zilizotawaliwa na mwingereza. Unachochanyikiwa wewe unadhani kuwa ni chama cha kutetea maslahi wafanyakzi wanasheria! Ndiyo maana unafananisha na vyama vya wafanyakazi. Ufahamu wako kumbe ni mdogo sana. Umeshindwa hata kufanya research ndogo ya ku-google?
Wewe ufahamu wako ni mdogo lakini ukielimishwa hutaki. Ulikuwa hujui hata ilianzishwa na serikali wakati gani halafu umeelimishwa na bado huelewi.Soma sheria ya TLS; na usome pia ya NBAA, wahandisi, wagavi, NK. Lakini si wajivuni kama hawa wnaotetea changudoa
Soma post yangu ya kwanza-halafu uone kama una add value yoyote kwenye arguement yako mkuu; HUNA JIPYA; Jipange vizuri uje tena na dharau zakoWewe ufahamu wako ni mdogo lakini ukielimishwa hutaki. Ulikuwa hujui hata ilianzishwa na serikali wakati gani halafu umeelimishwa na bado huelewi.
TLS (Tanganyika Law Society) ni Chama cha Mawakili cha Tanzania Bara(ambayo ndiyo iliyokuwa Tanganyika). Hii ni taasisi iliyoanzishwa kisheria mnamo mwaka 1954 kwa sheria ya kikoloni ya Sheria ya Chama cha Mawakili wa Tanganyika, Sura Nambari 307 ya Sheria za Tanzania. Sheria hii iliundwa na Bunge la Kiingereza.Pamoja na mabadiliko ya hapa na pale yaliyofanywa kwenye Sheria hii, Mawakili wetu wamerithishwa Sheria hii-inawaongoza hadi leo. Ifahamike kuwa Chama hiki cha Mawakili hakihusishi na kila Mwanasheria. Uanachama wake umeelezwa vyema chini ya kifungu cha 6 cha sheria husika. Pia kuna Sheria ya Mawakili, Sura ya 341 ya Sheria za Tanzania, pamoja na sheria ndogo na kanuni zilizoundwa kwayo, ambazo nazo zatumika pamoja katika kuwaongoza Mawakili hapa Tanzania.Kwaiyo.....?
Usipepese,nenda straight Kwenye pointi..! Kwani unataka kusemaje?