TLS ni chama cha serikali hakikuanzishwa na mawakili bali na sheria ya bunge tena la kikoloni

Ualimu siyo taaluma? Niambie ni kitu gani kwa akili zako siyo taaluma?
Chama cha walimu chama cha wafanyakazi ni wote walioko sekta ya elimu wawe madereva,wahasibu,wapishi madhuleni nk

Ndio maana katibu mkuu wa chama cha walimu Tanzania alikuwa mhasibu na hajawahi kuwa mwalimu

TLS ni chama cha kitaaluma cha wanasheria tu
 
Vipi kuhusu chama cha madaktari?
 
Chama cha walimu chama cha wafanyakazi ni wote walioko sekta ya elimu wawe madereva,wahasibu,wapishi madhuleni nk

Ndio maana katibu mkuu wa chama cha walimu Tanzania alikuwa mhasibu na hajawahi kuwa mwalimu

TLS ni chama cha kitaaluma cha wanasheria tu
Mkuu, wewe ni zaidi ya GEN Z muulize mwalimu wako aliyekufundisha KKK
 
Mawakili na wanachama a TLS ni watu wajivuni sana; wanajiona sana kiasi kwamba na wao wenyewe wanajitambulisha kama wasomi. Lakini TLS hawakuianzisha wao; walianzishiwa na serikali. halafu wanatupigiza kelele hapa kana kwamba ni watu wa mhimu sana kuliko wengine. wanazidiwa na walimu ambao wana CWT ambao wakizeguana wanaanzisha CWT MAREJEO wanasonga mbele.
Sasa Chama kikianzishwa na Serikali ndio kingefanya walengwa wasiwe WASOMI?

Una hoja ulitaka kuijengea hoja Lakini kwa u-lowness wako wa fikra na wivu, umefeli. Jipange upya.
 
Mimi siyo wewe baki wewe nami niendelee kuwa mimi. Nitajie taaluma nyingine hapa Tanzania wanaojiita wasomi?
 
Chama cha walimu chama cha wafanyakazi ni wote walioko sekta ya elimu wawe madereva,wahasibu,wapishi madhuleni nk

Ndio maana katibu mkuu wa chama cha walimu Tanzania alikuwa mhasibu na hajawahi kuwa mwalimu

TLS ni chama cha kitaaluma cha wanasheria tu
Hapa umempiga na kitu kizito mwalimu wa ngonjera na mashairi
 
Mimi siyo wewe baki wewe nami niendelee kuwa mimi. Nitajie taaluma nyingine hapa Tanzania wanaojiita wasomi?
Mmmmh tuna walimu wajinga sana kwel ,huyu naye alifundisha wanafunzi wakatoboa kwel?
 
Hapa umempiga na kitu kizito mwalimu wa ngonjera na mashairi
Mkuu unatia huruma sana- CWT haina mwanachama ambaye ni mpishi, dreva au karani.
INTRODUCTION
WELCOME TO TTU
Tanzania Teachers Union is a trade union of teachers in Tanzania mainland. The union was formed in 1993 for the purpose of advocating for and promoting the rights of teachers in Tanzania. It is a voice of teachers in Tanzania where it seeks, not only to inform teachers on their right, but also covey message to policy and decision makers, planners and the entire population on the need for environmental and institutional change towards teachers and inform on the necessity for mainstreaming the constituencys plight in the national agenda.
 
Mawakili na wanachama a TLS ni watu wajivuni sana; wanajiona sana kiasi kwamba na wao wenyewe wanajitambulisha kama wasomi. Lakini TLS hawakuianzisha wao; walianzishiwa na serikali. halafu wanatupigiza kelele hapa kana kwamba ni watu wa mhimu sana kuliko wengine. wanazidiwa na walimu ambao wana CWT ambao wakizeguana wanaanzisha CWT MAREJEO wanasonga mbele.
Wanaopiga kelele ni wachache tu kutafuta kiki hawana jipya
 
Endelea kuchangia ela ya form ya mama 2025, Sheria tuachie sisi
Sheria in taaluma ya watu IMMORAL wala siitamani na hakikia nawaachia na siyo kuwaachia tu sijawahi kuipenda. Taaluma gani unapangiwa na nguo na namna ya za kuvaa
 
Vyama vya siasa vimejipangia vyenyewe namna ya kufanya mambo yao. TLS hata katiba na kanuni ni sheria na kanuni za bunge na waziri wa sheria.
Sasa ujiulize ni kwa nini serikali ya kikoloni ikaona umuhimu wa kuanzisha chama kama hicho. Na kipo hata Kenya na hata Uganda. Sina uhakika ila nadhani ni nchi nyingi zilizotawaliwa na mwingereza. Unachochanyikiwa wewe unadhani kuwa ni chama cha kutetea maslahi wafanyakzi wanasheria! Ndiyo maana unafananisha na vyama vya wafanyakazi. Ufahamu wako kumbe ni mdogo sana. Umeshindwa hata kufanya research ndogo ya ku-google?
 
Soma sheria ya TLS; na usome pia ya NBAA, wahandisi, wagavi, NK. Lakini si wajivuni kama hawa wnaotetea changudoa
 
Wewe ufahamu wako ni mdogo lakini ukielimishwa hutaki. Ulikuwa hujui hata ilianzishwa na serikali wakati gani halafu umeelimishwa na bado huelewi.
 
Soma post yangu ya kwanza-halafu uone kama una add value yoyote kwenye arguement yako mkuu; HUNA JIPYA; Jipange vizuri uje tena na dharau zako
 
Kwaiyo.....?

Usipepese,nenda straight Kwenye pointi..! Kwani unataka kusemaje?
TLS (Tanganyika Law Society) ni Chama cha Mawakili cha Tanzania Bara(ambayo ndiyo iliyokuwa Tanganyika). Hii ni taasisi iliyoanzishwa kisheria mnamo mwaka 1954 kwa sheria ya kikoloni ya Sheria ya Chama cha Mawakili wa Tanganyika, Sura Nambari 307 ya Sheria za Tanzania. Sheria hii iliundwa na Bunge la Kiingereza.Pamoja na mabadiliko ya hapa na pale yaliyofanywa kwenye Sheria hii, Mawakili wetu wamerithishwa Sheria hii-inawaongoza hadi leo. Ifahamike kuwa Chama hiki cha Mawakili hakihusishi na kila Mwanasheria. Uanachama wake umeelezwa vyema chini ya kifungu cha 6 cha sheria husika. Pia kuna Sheria ya Mawakili, Sura ya 341 ya Sheria za Tanzania, pamoja na sheria ndogo na kanuni zilizoundwa kwayo, ambazo nazo zatumika pamoja katika kuwaongoza Mawakili hapa Tanzania.

Chini ya kifungu cha 4 cha Sheria ya Chama cha Mawakili, chama kimepewa malengo tisa. Haya ndiyo hapayobeba maana halisi ya uwepo wa taasisi hii, nguvu zake na zaidi sana umuhimu wake. Malengo manne kati ya hayo yanagusa mojakwamoja wadau wa sheria au umma kwa ujumla.
(1)Chama kina lengo la kuendeleza na kuimarisha viwango vya utendaji na mafunzo ya kada ya sheria.
(2) Kuwezesha upatikanaji wa uelewa wa kisheria kwa wanachama wake na wengineo.
(3) Kuisaidia serikali na mahakama kwenye masuala yote yahusuyo Sheria za Bunge, utawala na utendaji wa sheria Tanzania.
(4) Kuulinda na kuusaidia umma wa Tanzania katika masuala yote yahusuyo sheria.

Naunga mkono hoja kuwa TLS siyo mahali pa kufanya HARAKATI kama ambavyo Boniface Mwabukusi anavyotarajia. Tupa kule Mwabukusi
 
Back
Top Bottom