TLS waungane na Mbowe kuitafakarisha Serikali; nchi bado ina watu wazalendo. Hongera Sungusia

Nafikiri ni vizuri na tamko la TLS likaletwa hapa, ili kufanya reference
 
HUjielewi
 
IBARA 4(2) Kwamba serikali inapopata mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuiomba DPW ili iridhie! Huku kujidhalilisha kwa nchi huruma, ardhi yake iende Dubai kuiomba ridhaa? Lahaullah!
 
Waende Mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…