TLS yaanza kuwasaka ‘Wachokonozi’ wanaodaiwa kuchukuliwa na waliojitambulisha kuwa Polisi

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kinafuatilia taarifa za kutoweka kwa Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la Wchokonozi.

Vijana hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi leo Juni 20 na kupelekwa kituo cha polisi USA River wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi halijatoa taarifa mpaka sasa kuhusu kukanatwa kwao.

Katika andiko aliloweka katika mtandao wa X, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amelitaka jeshi la polisi kuwapa haki ya dhamana.

"Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv. David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa Chapter ya Arusha," ameandika.

Soma Pia: Kundi la Wachokonozi wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

Amesema kuwa sanaa ni taaluma na ni njia halali ya kufikisha uujumbehivyo haipaswi kuchukuliwa kuwa kosa la jinai, kwani hakuna sheria yeyote inahokataza wananchi kukoska viongozi, kuwapenda au kumchukia.

"Tunalitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani mara moja au la kuwapa haki yao ya dhamana iwapo wanatumhumiwa kwa kosa lolote na kuwapa haki ya kuwasiliana na ndugu au Mawakili wao."
 
SI wanasemaga Mungu hayupo Sasa ngoja wamuone kwa upande huo
 
Kwani Jeshi la Police limeshakubari kwamba linawashikilia....!?
 
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kinafuatilia taarifa za kutoweka kwa Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la Wchokonozi.

Vijana hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi leo Juni 20 na kupelekwa kituo cha polisi USA River wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi halijatoa taarifa mpaka sasa kuhusu kukanatwa kwao.

Katika andiko aliloweka katika mtandao wa X, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amelitaka jeshi la polisi kuwapa haki ya dhamana.

"Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv. David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa Chapter ya Arusha," ameandika.

Soma Pia: Kundi la Wachokonozi wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

Amesema kuwa sanaa ni taaluma na ni njia halali ya kufikisha uujumbehivyo haipaswi kuchukuliwa kuwa kosa la jinai, kwani hakuna sheria yeyote inahokataza wananchi kukoska viongozi, kuwapenda au kumchukia.

"Tunalitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani mara moja au la kuwapa haki yao ya dhamana iwapo wanatumhumiwa kwa kosa lolote na kuwapa haki ya kuwasiliana na ndugu au Mawakili wao."

Naiona Tanzania imeingia kwenye Zama za Udikteta kamili kama ilivyokuwa katika Nchi ya Zaire enzi za Utawala wa Dikteta Mobutu Sese Seko. Kumkosoa Dikteta Mobutu Sese Seko ilikuwa ni KUJIKATIA TIKETI YA KIFO, hali mbaya kama hii sasa hivi naiona ipo katika Nchi ya Tanzania.
It is a real hell!
 
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kinafuatilia taarifa za kutoweka kwa Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la Wchokonozi.

Vijana hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi leo Juni 20 na kupelekwa kituo cha polisi USA River wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi halijatoa taarifa mpaka sasa kuhusu kukanatwa kwao.

Katika andiko aliloweka katika mtandao wa X, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amelitaka jeshi la polisi kuwapa haki ya dhamana.

"Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv. David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa Chapter ya Arusha," ameandika.

Soma Pia: Kundi la Wachokonozi wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha

Amesema kuwa sanaa ni taaluma na ni njia halali ya kufikisha uujumbehivyo haipaswi kuchukuliwa kuwa kosa la jinai, kwani hakuna sheria yeyote inahokataza wananchi kukoska viongozi, kuwapenda au kumchukia.

"Tunalitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani mara moja au la kuwapa haki yao ya dhamana iwapo wanatumhumiwa kwa kosa lolote na kuwapa haki ya kuwasiliana na ndugu au Mawakili wao."

USA river? No comment
 
T. L. S wanamaliza hela za wanachama kufuatilia mambo ya kijinga jinga tu
 
Huko Arusha yupo makonda na mjue makonda kwa michezo michafu anajulikana mpaka clouds ya Road Ruge ni vyema wakamuulize makonda kwanza kabla ya Polisiccm ili atoe ufafanuzi kama alivyofanya kipindi kile MO na Roma mkatoriki walivyotekwa
 
Huu utawala wa huyu bibi hauna tofauti na wa Adolf hitler
Mama mkoloni kaburu ni Dikiteta kama Makaburu,iddy Amin Dada, Bokasa, Elibashiri, Chiluba, Rungu, Mabutu na Adolf hitler wa ujerumani
 
T. L. S wanamaliza hela za wanachama kufuatilia mambo ya kijinga jinga tu
ibirisi wa ccm mnamaliza pesa za walipa kodi kugharamia Chopa mikutano posho mishahara ya Chaumccm a k a Ubwabwa huku Mbowe akila mabilioni kwa kuwauzia magalasa G55
 
Back
Top Bottom