TLS yaanza kuwasaka ‘Wachokonozi’ wanaodaiwa kuchukuliwa na waliojitambulisha kuwa Polisi

TLS yaanza kuwasaka ‘Wachokonozi’ wanaodaiwa kuchukuliwa na waliojitambulisha kuwa Polisi

Naiona Tanzania imeingia kwenye Zama za Udikteta kamili kama ilivyokuwa katika Nchi ya Zaire enzi za Utawala wa Dikteta Mobutu Sese Seko. Kumkosoa Dikteta Mobutu Sese Seko ilikuwa ni KUJIKATIA TIKETI YA KIFO, hali mbaya kama hii sasa hivi naiona ipo katika Nchi ya Tanzania.
It is a real hell!
Mkoloni Dikteta kaburu mama iddy Amin Dada toka Zanzibar anaitawala kimabavu Tanganyika kwa msaada wa vibaraka mamluki watanganyika wenyewe wakiongozwa na Polisiccm
 
Write your reply...acheni kutukana watu hovyo mitandao wengine wana visasi hatari
 
Tokea vitendo haramu vya kishetani toka kwa ibirisi wa ccm vishike kasi Amos makala chawaccm, Bashungwa na IGP wametajirika sana, kwa mabilioni kazi maalum ya kuihujumu kuidhoofisha chadema wanagawana kienyeji na kiasi anapewa mbowe Dalali wa siasa, mahakimuccm, majajiccm, Msajiliccm jajiccm Mutungi ili wasaidie kuinyong’onyesha chadema, pesa inayotumika hapo ni nyingi na endapo zingekuwa zimeelekezwa kwenye maendeleo mda huu ccm ingekuwa inapendwa na wala wasingekuwa wanasomba watu na Fuso kwenda kwenye Mikutano ya ccm na kura wangepata, lakini sasa chadema imegeuzwa Dili fursa ya kupiga pesa huko kwa ibirisi wa ccm ni wizi wa pesa za walipa kodi
 
Back
Top Bottom