Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kinafuatilia taarifa za kutoweka kwa Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la Wchokonozi.
Vijana hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi leo Juni 20 na kupelekwa kituo cha polisi USA River wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi halijatoa taarifa mpaka sasa kuhusu kukanatwa kwao.
Katika andiko aliloweka katika mtandao wa X, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amelitaka jeshi la polisi kuwapa haki ya dhamana.
"Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv. David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa Chapter ya Arusha," ameandika.
Soma Pia: Kundi la Wachokonozi wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha
Amesema kuwa sanaa ni taaluma na ni njia halali ya kufikisha uujumbehivyo haipaswi kuchukuliwa kuwa kosa la jinai, kwani hakuna sheria yeyote inahokataza wananchi kukoska viongozi, kuwapenda au kumchukia.
"Tunalitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani mara moja au la kuwapa haki yao ya dhamana iwapo wanatumhumiwa kwa kosa lolote na kuwapa haki ya kuwasiliana na ndugu au Mawakili wao."

Mwabukusi ubarikiwe
T. L. S wanamaliza hela za wanachama kufuatilia mambo ya kijinga jinga tuChama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimesema kinafuatilia taarifa za kutoweka kwa Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la Wchokonozi.
Vijana hao wanadaiwa kukamatwa na Polisi leo Juni 20 na kupelekwa kituo cha polisi USA River wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi halijatoa taarifa mpaka sasa kuhusu kukanatwa kwao.
Katika andiko aliloweka katika mtandao wa X, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amelitaka jeshi la polisi kuwapa haki ya dhamana.
"Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv. David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa Chapter ya Arusha," ameandika.
Soma Pia: Kundi la Wachokonozi wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, Arumeru, Arusha
Amesema kuwa sanaa ni taaluma na ni njia halali ya kufikisha uujumbehivyo haipaswi kuchukuliwa kuwa kosa la jinai, kwani hakuna sheria yeyote inahokataza wananchi kukoska viongozi, kuwapenda au kumchukia.
"Tunalitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani mara moja au la kuwapa haki yao ya dhamana iwapo wanatumhumiwa kwa kosa lolote na kuwapa haki ya kuwasiliana na ndugu au Mawakili wao."
Polisiccm siyo jeshi ni Tawi la ibirisi wa ccmKwani Jeshi la Police limeshakubari kwamba linawashikilia....!?
Mama mkoloni kaburu ni Dikiteta kama Makaburu,iddy Amin Dada, Bokasa, Elibashiri, Chiluba, Rungu, Mabutu na Adolf hitler wa ujerumaniHuu utawala wa huyu bibi hauna tofauti na wa Adolf hitler
The HagueAmefanya vizuri na pia swala la mdude asiishie kuwashitaki ndani ya nchi pia alipeleke kwenye taasisi za nje.
ibirisi wa ccm mnamaliza pesa za walipa kodi kugharamia Chopa mikutano posho mishahara ya Chaumccm a k a Ubwabwa huku Mbowe akila mabilioni kwa kuwauzia magalasa G55T. L. S wanamaliza hela za wanachama kufuatilia mambo ya kijinga jinga tu