PreGE2025 TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake.

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya
kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi
(Senior Advocate), Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la TLS.

Mnamo tarehe
10/5/2025 Rais wetu alipokea ujumbe kwenye simu yake kutoka kwenye namba ya simu
ya mkononi ya Tanzania (0792705831) ukiwa unaonyesha kuna mipango ovu ya kuondoa
uhai wake. TLS inakemea na kulaani kitendo hicho kwani ni kinyume na Katiba ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, 1977 na Sheria za Nchi yetu.

TLS, kwa mujibu wa kifungu cha 4(d) cha Sheria ya Chama cha Sheria Tanganyika, Sura
Namba 307 ya Sheria za Tanzania, inajukumu la kulinda Wanachama wake na
Wananchi/Umma kwa ujumla; hivyo, inachukua kwa uzito mkubwa jukumu la kulinda
usalama wa maisha ya Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, Wakili na Rais wetu, Wanachama
wake wote na Umma kwa ujumla. Kila raia wa Tanzania (akiwemo Wakili Boniphace A. K.
Mwabukusi) ana haki ya kuishi na kufanya kazi zake halali ndani ya Nchi yake bila vitisho,
uwoga wala hofu.

TLS inatoa wito kwa mamlaka za Serikali hasa Jeshi la Polisi, lenye dhamana ya ulinzi wa
raia na mali zake, kuhakikisha Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi kama raia wengine
anakuwa salama wakati wote. Kwa kuwa kuna namba ya simu iliyofanya uhalifu wa kutishia
maisha ya Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi tunalitaka Jeshi la Polisi liwabaini na
kuwachukulia hatua stahiki za kisheria wale wote wanaomtishia maisha Ndugu Boniphace
A. K. Mwabukusi. TLS itafuatilia kikamilifu uchunguzi wa suala hili kwa Jeshi la Polisi kwa
kuwa aliyetishiwa maisha si tu ni Wakili, bali kiongozi mkuu wa Taasisi yetu, rais wa TLS.

Ni wazi pia kuwa, vitisho dhidi ya Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi vinahusiana na nafasi
yake kama Msemaji Mkuu wa TLS kwa kuwa anatishiwa kutokana na kuwa muongeaji
(vocal) jambo ambalo ndio msingi na wajibu wa nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza
la Uongozi na Rais wa TLS.

Screenshot_20250512_190129_Samsung Notes.jpg
 
Attachments

Wakuu

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA VITISHO DHIDI YA BONIPHACEA.K.
MWABUKUSI​

Mwisho, TLS itaendelea kusimamia utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa kifungu
cha 4 cha Sheria ya Chama chaSheria Tanganyika, Sura Na. 307 yaSheria za Tanzania katika
kushauri, kukemea, kuonya na kuchukua hatua sahihi za kisheria ikiwemo kufungua
mashauri Mahakamani (Strategic Litigations) katika kulinda haki za Wanachama wake na
Umma kwa ujumla bila uwoga wala upendeleo. TLS inatambua na kuheshimu Utawala wa
Sheria na kwamba hakuna aliye juu yaSheria kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Mungano
wa Tanzania, 1977.

Ifahamike kuwa, Baraza la Uongozi la TLS haliwezi kukaa kimya
linapoona Kiongozi wake mkuu (rais) anatishiwa maisha kwa kutimiza wajibu wake kwa
mujibu wa Sheria. Tishio kama hili si tu ni la Ndugu Mwabukusi, ni la Baraza zima la
Uongozi la TLS na TLS nzima. Uhalifu wa namna hii haufai, tunaulaani na hautavumiliwa
hata kidogo.

Imetolewa na Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)
Wakili Laetitia Petro Ntagazwa,
Makamu Rais - TLS
 
Wakuu,

TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake.

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya
kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi
(Senior Advocate), Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la TLS.

Mnamo tarehe
10/5/2025 Rais wetu alipokea ujumbe kwenye simu yake kutoka kwenye namba ya simu
ya mkononi ya Tanzania (0792705831) ukiwa unaonyesha kuna mipango ovu ya kuondoa
uhai wake. TLS inakemea na kulaani kitendo hicho kwani ni kinyume na Katiba ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, 1977 na Sheria za Nchi yetu.

TLS, kwa mujibu wa kifungu cha 4(d) cha Sheria ya Chama cha Sheria Tanganyika, Sura
Namba 307 ya Sheria za Tanzania, inajukumu la kulinda Wanachama wake na
Wananchi/Umma kwa ujumla; hivyo, inachukua kwa uzito mkubwa jukumu la kulinda
usalama wa maisha ya Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, Wakili na Rais wetu, Wanachama
wake wote na Umma kwa ujumla. Kila raia wa Tanzania (akiwemo Wakili Boniphace A. K.
Mwabukusi) ana haki ya kuishi na kufanya kazi zake halali ndani ya Nchi yake bila vitisho,
uwoga wala hofu.

TLS inatoa wito kwa mamlaka za Serikali hasa Jeshi la Polisi, lenye dhamana ya ulinzi wa
raia na mali zake, kuhakikisha Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi kama raia wengine
anakuwa salama wakati wote. Kwa kuwa kuna namba ya simu iliyofanya uhalifu wa kutishia
maisha ya Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi tunalitaka Jeshi la Polisi liwabaini na
kuwachukulia hatua stahiki za kisheria wale wote wanaomtishia maisha Ndugu Boniphace
A. K. Mwabukusi. TLS itafuatilia kikamilifu uchunguzi wa suala hili kwa Jeshi la Polisi kwa
kuwa aliyetishiwa maisha si tu ni Wakili, bali kiongozi mkuu wa Taasisi yetu, rais wa TLS.

Ni wazi pia kuwa, vitisho dhidi ya Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi vinahusiana na nafasi
yake kama Msemaji Mkuu wa TLS kwa kuwa anatishiwa kutokana na kuwa muongeaji
(vocal) jambo ambalo ndio msingi na wajibu wa nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza
la Uongozi na Rais wa TLS.

View attachment 3331904
Leo nimemsikia Mwabukusi katika kipindi cha Amka na BBC akisema kuwa yeye haogopi mtu na haogopi chochote. Sasa kelele za nini?
 
Watanganyika wamemruhusu raia wa kigeni kufanya atakalo kwenye nchi yao, ikiwemo kuuza rasilimali zao na kuua yeyote
Kwenye historia, Expansion of empires ndio huwa hivi, baada ya muda mrefu ujao kupitia lobbying and bribing decions making units in Tanganyika, the later itakuwa nchi ya wageni.
 
Katika kile kinachoonekana kama shambulio la moja kwa moja dhidi ya uhuru wa kitaaluma na nafasi ya kisheria nchini, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa taarifa kali ya kulaani kitendo cha kutishiwa maisha kwa Rais wake, Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la TLS.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya TLS iliyotolewa leo tarehe 12 Mei 2025 inaeleza kuwa, mnamo tarehe 10 Mei, 2025, Wakili Mwabukusi alipokea ujumbe wa kutisha kutoka kwa namba ya simu ya Tanzania (0792705831) ukionesha kuna njama za kuondoa uhai wake. Vitisho hivi vinaelezwa kuhusiana moja kwa moja na kazi yake kama msemaji mkuu wa TLS, ambapo amekuwa akitoa kauli zenye msimamo thabiti katika kulinda utawala wa sheria na haki za msingi za wananchi.

TLS imesisitiza kuwa kitendo hiki ni kivunjaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, hasa haki ya kuishi na kufanya kazi halali bila hofu, ambayo inalindwa chini ya Ibara ya 14 ya Katiba. Pia ni ukiukwaji wa misingi ya demokrasia na maadili ya kitaifa.

Kupitia Kifungu cha 4(d) cha Sheria ya TLS (Sura ya 307), chama hicho kimeeleza dhamira yake ya kusimamia haki na usalama wa wanachama wake na jamii kwa ujumla. Wamesisitiza kuwa suala hili halitaachwa kupita kimya kimya, na wameshaanza kulifuatilia kwa karibu kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.
​
“Tishio kama hili si tu ni dhidi ya Wakili Mwabukusi binafsi – ni tishio kwa taasisi nzima ya TLS, kwa kila mwanasheria, na kwa kila mdau wa haki nchini,”​
imeelezwa kwenye taarifa hiyo.

Aidha, TLS imeiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi kuhakikisha usalama wa Rais wao uko mikononi mwa dola kwa ukamilifu, na kuchukua hatua za haraka za kiuchunguzi na kisheria dhidi ya wahusika wa tishio hilo.

Katika mazingira haya, TLS haijasita kutangaza kuwa iko tayari kutumia mbinu za kimkakati za kisheria (strategic litigations) kama njia ya kulinda misingi ya haki na sheria, endapo vitisho dhidi ya viongozi wake vitaendelea kupuuzwa.

Maoni ya Haraka ya Kisheria (Quick Legal Take):​
  • Vitisho vya maisha ni kosa la jinai linaloadhibiwa chini ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16.​
  • TLS kama taasisi ya kisheria ina uwezo wa kufungua shauri la madai au maombi maalum (public interest litigation) kulinda uhuru wa maoni wa viongozi wake.​
  • Kutumia namba ya simu inayotambulika ni ushahidi wa msingi unaoweza kupelekea kufuatiliwa kirahisi na mamlaka za upelelezi kupitia Cyber Crime Unit.​

Je, unadhani vitisho hivi vina uhusiano na misimamo ya TLS ikiongozwa na Mwabukusi katika masuala ya kitaifa?Je, ni wakati wa kulinda zaidi taasisi huru kama TLS dhidi ya mashinikizo na vitisho? Tuambie mtazamo wako hapa​
#TLS #UtawalaWaSheria #HakiZaBinadamu #BoniphaceMwabukusi #Vitisho #LegalWatch #Jamiiforums

IMG_3982.jpeg

IMG_3983.jpeg

12 Mei, 2025.​

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA VITISHO DHIDI YA BONIPHACE A.K.MWABUKUSI​

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi (Senior Advocate), Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la TLS. Mnamo tarehe 10/5/2025 Rais wetu alipokea ujumbe kwenye simu yake kutoka kwenye namba ya simu ya mkononi ya Tanzania (0792705831) ukiwa unaonyesha kuna mipango ovu ya kuondoa uhai wake. TLS inakemea na kulaani kitendo hicho kwani ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 na Sheria za Nchi yetu.

TLS, kwa mujibu wa kifungu cha 4(d) cha Sheria ya Chama cha Sheria Tanganyika, Sura Namba 307 ya Sheria za Tanzania, inajukumu la kulinda Wanachama wake na Wananchi/Umma kwa ujumla; hivyo, inachukua kwa uzito mkubwa jukumu la kulinda usalama wa maisha ya Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, Wakili na Rais wetu, Wanachama wake wote na Umma kwa ujumla. Kila raia wa Tanzania (akiwemo Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi) ana haki ya kuishi na kufanya kazi zake halali ndani ya Nchi yake bila vitisho, uwoga wala hofu.

TLS inatoa wito kwa mamlaka za Serikali hasa Jeshi la Polisi, lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zake, kuhakikisha Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi kama raia wengine anakuwa salama wakati wote. Kwa kuwa kuna namba ya simu iliyofanya uhalifu wa kutishia maisha ya Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi tunalitaka Jeshi la Polisi liwabaini na kuwachukulia hatua stahiki za kisheria wale wote wanaomtishia maisha Ndugu Boniphace А. К. Mwabukusi. TLS itafuatilia kikamilifu uchunguzi wa suala hili kwa Jeshi la Polisi kwa kuwa aliyetishiwa maisha si tu ni Wakili, bali kiongozi mkuu wa Taasisi yetu, rais wa TLS.

Ni wazi pia kuwa, vitisho dhidi ya Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi vinahusiana na nafasi yake kama Msemaji Mkuu wa TLS kwa kuwa anatishiwa kutokana na kuwa muongeaji (vocal) jambo ambalo ndio msingi na wajibu wa nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi na Rais wa TLS.

Mwisho, TLS itaendelea kusimamia utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Chama cha Sheria Tanganyika, Sura Na. 307 ya Sheria za Tanzania katika kushauri, kukemea, kuonya na kuchukua hatua sahihi za kisheria ikiwemo kufungua mashauri Mahakamani (Strategic Litigations) katika kulinda haki za Wanachama wake na Umma kwa ujumla bila uwoga wala upendeleo. TLS inatambua na kuheshimu Utawala wa Sheria na kwamba hakuna aliye juu ya Sheria kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, 1977. Ifahamike kuwa, Baraza la Uongozi la TLS haliwezi kukaa kimya linapoona Kiongozi wake mkuu (rais) anatishiwa maisha kwa kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa Sheria. Tishio kama hili si tu ni la Ndugu Mwabukusi, ni la Baraza zima la Uongozi la TLS na TLS nzima. Uhalifu wa namna hii haufai, tunaulaani na hautavumiliwa hata kidogo.​
 
Uyo mwabukusi anajulikana yupo upande gani ,ila amekosea kuendeleza ujasusi ,yaani majasusi wa ccm ndani ya vyama vingine huwezi kuwajua kabisa kabisa hata ufanye nini labda maana wazembe hawakosi.
Leo ukiambiwa Tundu lisu ni CCM utabisha ? Hujui kama Chadema ingeshiliki uchaguzi CCM wangukuwa kwenye mtihani ,so Jasusi Tundu amejitoa Muhanga kuikoa CCM na hatolewi mpaka uchaguzi unamalizika maana kazi aliyotumwa itakuwa imeshatimia. Yaani hawa mnaowaona wapo mstari wa mbele hivi sasa hawataki kabisa kusikia Chadema inashiriki uchaguzi,ivi amuoni wamekamata no betrii no charge
 
Katika kile kinachoonekana kama shambulio la moja kwa moja dhidi ya uhuru wa kitaaluma na nafasi ya kisheria nchini, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa taarifa kali ya kulaani kitendo cha kutishiwa maisha kwa Rais wake, Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la TLS.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya TLS iliyotolewa leo tarehe 12 Mei 2025 inaeleza kuwa, mnamo tarehe 10 Mei, 2025, Wakili Mwabukusi alipokea ujumbe wa kutisha kutoka kwa namba ya simu ya Tanzania (0792705831) ukionesha kuna njama za kuondoa uhai wake. Vitisho hivi vinaelezwa kuhusiana moja kwa moja na kazi yake kama msemaji mkuu wa TLS, ambapo amekuwa akitoa kauli zenye msimamo thabiti katika kulinda utawala wa sheria na haki za msingi za wananchi.

TLS imesisitiza kuwa kitendo hiki ni kivunjaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, hasa haki ya kuishi na kufanya kazi halali bila hofu, ambayo inalindwa chini ya Ibara ya 14 ya Katiba. Pia ni ukiukwaji wa misingi ya demokrasia na maadili ya kitaifa.

Kupitia Kifungu cha 4(d) cha Sheria ya TLS (Sura ya 307), chama hicho kimeeleza dhamira yake ya kusimamia haki na usalama wa wanachama wake na jamii kwa ujumla. Wamesisitiza kuwa suala hili halitaachwa kupita kimya kimya, na wameshaanza kulifuatilia kwa karibu kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.
​

imeelezwa kwenye taarifa hiyo.

Aidha, TLS imeiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi kuhakikisha usalama wa Rais wao uko mikononi mwa dola kwa ukamilifu, na kuchukua hatua za haraka za kiuchunguzi na kisheria dhidi ya wahusika wa tishio hilo.

Katika mazingira haya, TLS haijasita kutangaza kuwa iko tayari kutumia mbinu za kimkakati za kisheria (strategic litigations) kama njia ya kulinda misingi ya haki na sheria, endapo vitisho dhidi ya viongozi wake vitaendelea kupuuzwa.

Maoni ya Haraka ya Kisheria (Quick Legal Take):​
  • Vitisho vya maisha ni kosa la jinai linaloadhibiwa chini ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), Sura ya 16.​
  • TLS kama taasisi ya kisheria ina uwezo wa kufungua shauri la madai au maombi maalum (public interest litigation) kulinda uhuru wa maoni wa viongozi wake.​
  • Kutumia namba ya simu inayotambulika ni ushahidi wa msingi unaoweza kupelekea kufuatiliwa kirahisi na mamlaka za upelelezi kupitia Cyber Crime Unit.​

Je, unadhani vitisho hivi vina uhusiano na misimamo ya TLS ikiongozwa na Mwabukusi katika masuala ya kitaifa?Je, ni wakati wa kulinda zaidi taasisi huru kama TLS dhidi ya mashinikizo na vitisho? Tuambie mtazamo wako hapa​
#TLS #UtawalaWaSheria #HakiZaBinadamu #BoniphaceMwabukusi #Vitisho #LegalWatch #Jamiiforums

View attachment 3332495
View attachment 3332496

12 Mei, 2025.​

TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA VITISHO DHIDI YA BONIPHACE A.K.MWABUKUSI​

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi (Senior Advocate), Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la TLS. Mnamo tarehe 10/5/2025 Rais wetu alipokea ujumbe kwenye simu yake kutoka kwenye namba ya simu ya mkononi ya Tanzania (0792705831) ukiwa unaonyesha kuna mipango ovu ya kuondoa uhai wake. TLS inakemea na kulaani kitendo hicho kwani ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 na Sheria za Nchi yetu.

TLS, kwa mujibu wa kifungu cha 4(d) cha Sheria ya Chama cha Sheria Tanganyika, Sura Namba 307 ya Sheria za Tanzania, inajukumu la kulinda Wanachama wake na Wananchi/Umma kwa ujumla; hivyo, inachukua kwa uzito mkubwa jukumu la kulinda usalama wa maisha ya Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, Wakili na Rais wetu, Wanachama wake wote na Umma kwa ujumla. Kila raia wa Tanzania (akiwemo Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi) ana haki ya kuishi na kufanya kazi zake halali ndani ya Nchi yake bila vitisho, uwoga wala hofu.

TLS inatoa wito kwa mamlaka za Serikali hasa Jeshi la Polisi, lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zake, kuhakikisha Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi kama raia wengine anakuwa salama wakati wote. Kwa kuwa kuna namba ya simu iliyofanya uhalifu wa kutishia maisha ya Wakili Boniphace A. K. Mwabukusi tunalitaka Jeshi la Polisi liwabaini na kuwachukulia hatua stahiki za kisheria wale wote wanaomtishia maisha Ndugu Boniphace А. К. Mwabukusi. TLS itafuatilia kikamilifu uchunguzi wa suala hili kwa Jeshi la Polisi kwa kuwa aliyetishiwa maisha si tu ni Wakili, bali kiongozi mkuu wa Taasisi yetu, rais wa TLS.

Ni wazi pia kuwa, vitisho dhidi ya Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi vinahusiana na nafasi yake kama Msemaji Mkuu wa TLS kwa kuwa anatishiwa kutokana na kuwa muongeaji (vocal) jambo ambalo ndio msingi na wajibu wa nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi na Rais wa TLS.

Mwisho, TLS itaendelea kusimamia utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Chama cha Sheria Tanganyika, Sura Na. 307 ya Sheria za Tanzania katika kushauri, kukemea, kuonya na kuchukua hatua sahihi za kisheria ikiwemo kufungua mashauri Mahakamani (Strategic Litigations) katika kulinda haki za Wanachama wake na Umma kwa ujumla bila uwoga wala upendeleo. TLS inatambua na kuheshimu Utawala wa Sheria na kwamba hakuna aliye juu ya Sheria kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, 1977. Ifahamike kuwa, Baraza la Uongozi la TLS haliwezi kukaa kimya linapoona Kiongozi wake mkuu (rais) anatishiwa maisha kwa kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa Sheria. Tishio kama hili si tu ni la Ndugu Mwabukusi, ni la Baraza zima la Uongozi la TLS na TLS nzima. Uhalifu wa namna hii haufai, tunaulaani na hautavumiliwa hata kidogo.​
jeshi la polisi liko imara kulinda raia na mali zao hata mwabukusui analindwa kwa mujibu wa sheria hizo kwahiyo ajisikie yuko salama kabisa wala asiwe na hofu atalindwa LABDA ITOKEE BAHATI MBAYA SANA ANAYEMTAFUTA AKAFANIKIWA KUMNYAKUA BILA JESHI KUONA hapo itakuwa bahati mbaya kwake maka mdude tu naye alikuwa analindwa vizuri tu
 
Back
Top Bottom