Ngoja tuendelee kuchukua tahadhari mpaka mwaka 2027.
Hawa nao wanazingua kila siku kututishia tu. Mungu wetu aliye hai atazuia ELNINO haitakuwepo kabisa.
dharau kama hizo zilikua chamtoto kipindi cha Nuhu gentleman, ila wenye kiburi walikiona cha moto in minutes
Takataka wl nino iko wapo inayoendelea?Hahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu au kuna mtu hajakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa unaliwa kekundu haka hapa.
View attachment 3689459
Matapeli ni Wazuri kwenye kucheza na maneno.Kuendelea?! Kwani imeshaanza?
Tuendelee kusubiri mkuu, tuliambiwa tununue chakula cha kutosha mwezi wa September tusingeweza kutoka nje kimeisha usiache tena kununua cha disemba mkuu.dharau kama hizo zilikua chamtoto kipindi cha Nuhu gentleman, ila wenye kiburi walikiona cha moto in minutes
πππTuendelee kusubiri mkuu, tuliambiwa tununue chakula cha kutosha mwezi wa September tusingeweza kutoka nje kimeisha usiache tena kununua cha disemba mkuu.
ni muhimu sana kuhakikisha tahadhari zote zinazingatiwa,Tuendelee kusubiri mkuu, tuliambiwa tununue chakula cha kutosha mwezi wa September tusingeweza kutoka nje kimeisha usiache tena kununua cha disemba mkuu.
Mashehe walishasoma dua haitakuwepo.Hawa nao wanazingua kila siku kututishia tu. Mungu wetu aliye hai atazuia ELNINO haitakuwepo kabisa.
Mwigulu alisema zikiisha zitaongezwa.Hizo bil 700 ndo zishaenda vikao kibao vya kujadili mvua
Tuendelee kula pesa za vikao vya mvuani muhimu sana kuhakikisha tahadhari zote zinazingatiwa,
maana,
kwa uzoefu,
masaa mawili tu ya mvua za El nino yanatosha kusababisha uharibifu mkubwa na maafa makubwa na mabaya sana
ok.Tuendelee kula pesa za vikao vya mvua
Nilitegemea hizo pesa zitumike kusafisha mitaro kwanzaMwigulu alisema zikiisha zitaongezwa.
Hii inaitwa aibu utaona ww. Walisema mwisho wa September na mwanzoni mwa October. Hadi sasa utabiri hola. Mvua itanyesha, ila sio kama utabiri wa hao matapeli walivyotaka tuamini.dharau kama hizo zilikua chamtoto kipindi cha Nuhu gentleman, ila wenye kiburi walikiona cha moto in minutes