mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Asilimia kubwa ya wakulima ambao wapo mabondeni, walighairi kupanda tangu mwezi wa saba kwa hofu ya utabiri wa TMA kuwa kutakuwa na Mvua za Elinino na ambazo hazijawahi kutokea, na mapema mwa mwezi October mwaka huu zitaanza
Leo ni tarehe 13 Oct na hakuna dalili, TMA isipopelekwa mahakamani, hawataacha hii tabia ovu iwapo hakutatokea kabisa hizi Mvua za Elinino
Hata hivyo, kwa kuwa wametuaminisha hivyo, tuendelee kuchukua hatua