TMA isipopelekwa mahakamani, haitajifunza, inatia hasara wakulima

TMA isipopelekwa mahakamani, haitajifunza, inatia hasara wakulima

Asilimia kubwa ya wakulima ambao wapo mabondeni, walighairi kupanda tangu mwezi wa saba kwa hofu ya utabiri wa TMA kuwa kutakuwa na Mvua za Elinino na ambazo hazijawahi kutokea, na mapema mwa mwezi October mwaka huu zitaanza

Leo ni tarehe 13 Oct na hakuna dalili, TMA isipopelekwa mahakamani, hawataacha hii tabia ovu iwapo hakutatokea kabisa hizi Mvua za Elinino

Hata hivyo, kwa kuwa wametuaminisha hivyo, tuendelee kuchukua hatua
Kalime bondeni,muda bado upo
 
Unashtaki vipi Waganga wa hali ya Hewa (kutabiri,kubashiri ndio kubet kwenyewe huko yaani kutokuwa na Uhakika
Wenda Ikawepo au Isiwepo)..
 
Asilimia kubwa ya wakulima ambao wapo mabondeni, walighairi kupanda tangu mwezi wa saba kwa hofu ya utabiri wa TMA kuwa kutakuwa na Mvua za Elinino na ambazo hazijawahi kutokea, na mapema mwa mwezi October mwaka huu zitaanza

Leo ni tarehe 13 Oct na hakuna dalili, TMA isipopelekwa mahakamani, hawataacha hii tabia ovu iwapo hakutatokea kabisa hizi Mvua za Elinino

Hata hivyo, kwa kuwa wametuaminisha hivyo, tuendelee kuchukua hatua
🤭
 
Mkuu unaelewa maana ya neno utabiri,maana ya utabiri ni kitu ambacho kinaweza kutokea au kutokutokea.
Alafu kingine elimino ni inaweza kuwa mvua kupita kiasi au inaweza kusababisha ukame kupita kiasi.
Mkuu utabiri sio kwamba jambo linweza tokea au lisitokee. Utabiri ni kuweza kuona (foresee) jambo litakakalotokea mbeleni na kuliweka wazi. Hii mamlaka yetu ya hewa yenyewe ni hewa- very incompitent.
 
Waziri waambo ya utabiri wa hali ya hewa ni Bashite, Wanu na Chalamila 😅
 
Wanyang'anywe vifaa, inawezekana wanatumia hivyo vifaa kwa ajili ya kula kwa urefu wa kamba zao kama walivyoshauriwa na aliye waajiri. Wanapaswa kutolewa kwa viboko huko ofisi za umma, ni wachonganishi na wazandiki...kama hawana elimu wasilete taharuki nchini
 
Ngano mifuko miwili lita 20 ya mafuta , sukari kilo 25, chumvi kg 2, karanga kilo 7, Unga wa Dona kilo 25, mchele kilo 30, mkaa gunia 1 gesi ipo bunda 3 za viberiti, debe 3 za udaga mtama debe 3, panaldol box 1, tambi box 1 pesa ya akiba 300,000 Kondom pakti 30, gambuti pea 2 mokoti ya mvua 2, miamvuli 2, dagaa sado 2, maharage kg8 dengu vitunguu kg 5 nyanya takuwa nafata sokon mvua ikipungua, naisubir kwa hamu hiyo mvua.
😁😁😁
 
Back
Top Bottom