mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Hivyo vitu unatamani uwe navyo au unavyo tayari? Ebu sema ukweli wakoNgano mifuko miwili lita 20 ya mafuta , sukari kilo 25, chumvi kg 2, karanga kilo 7, Unga wa Dona kilo 25, mchele kilo 30, mkaa gunia 1 gesi ipo bunda 3 za viberiti, debe 3 za udaga mtama debe 3, panaldol box 1, tambi box 1 pesa ya akiba 300,000 Kondom pakti 30, gambuti pea 2 mokoti ya mvua 2, miamvuli 2, dagaa sado 2, maharage kg8 dengu vitunguu kg 5 nyanya takuwa nafata sokon mvua ikipungua, naisubir kwa hamu hiyo mvua.
Taasisi zote za serikali ni sisiemu, mahakama ni sisiemu. Ukifungua hiyo kesi itakuwa kama kupeleka shauri dhidi ya tumbili mezani kwa ngedereLeo ni tarehe 13 Oct na hakuna dalili, TMA isipopelekwa mahakamani, hawataacha hii tabia ovu iwapo hakutatokea kabisa hizi Mvua za Elinino
Athari zake ni kubwa na wanaweza kisababisha janga la njaa nchini, hawakwepi sharia mkuuMkuu unaelewa maana ya neno utabiri,maana ya utabiri ni kitu ambacho kinaweza kutokea au kutokutokea.
Alafu kingine elimino ni inaweza kuwa mvua kupita kiasi au inaweza kusababisha ukame kupita kiasi.
Jamaa ana genge / soko ndaniHivyo vitu unatamani uwe navyo au unavyo tayari? Ebu sema ukweli wako
Hili ni genge?Ngano mifuko miwili lita 20 ya mafuta , sukari kilo 25, chumvi kg 2, karanga kilo 7, Unga wa Dona kilo 25, mchele kilo 30, mkaa gunia 1 gesi ipo bunda 3 za viberiti, debe 3 za udaga mtama debe 3, panaldol box 1, tambi box 1 pesa ya akiba 300,000 Kondom pakti 30, gambuti pea 2 mokoti ya mvua 2, miamvuli 2, dagaa sado 2, maharage kg8 dengu vitunguu kg 5 nyanya takuwa nafata sokon mvua ikipungua, naisubir kwa hamu hiyo mvua.
Unajimu Kama Mwandamo Wa Mwezi Kwenye IddHuwa wanatumia vyombo gani Hawa ?!
Muongo bhanaJamaa ana genge / soko ndani
Hahahaha 😂 😂,katisha kwa vitu vileMuongo bhana
Asilimia kubwa ya wakulima ambao wapo mabondeni, walighairi kupanda tangu mwezi wa saba kwa hofu ya utabiri wa TMA kuwa kutakuwa na Mvua za Elinino na ambazo hazijawahi kutokea, na mapema mwa mwezi October mwaka huu zitaanza
Leo ni tarehe 13 Oct na hakuna dalili, TMA isipopelekwa mahakamani, hawataacha hii tabia ovu iwapo hakutatokea kabisa hizi Mvua za Elinino
Hata hivyo, kwa kuwa wametuaminisha hivyo, tuendelee kuchukua hatua