TMA isipopelekwa mahakamani, haitajifunza, inatia hasara wakulima

Athari zake ni kubwa na wanaweza kisababisha janga la njaa nchini, hawakwepi sharia mkuu
Mkuu suala la elimino limetabiliwa dunia nzima na TMA hawana vyombo vyenye uwezo wa kitabili hali ya hewa bali wamekuwa wakichukua data kutoka kwenye vituo vya utabiri wa hali ya hewa vya kimataifa.
 
TMA washenzi sana. Nimelima nikisubiri mvua ije kumbe hakuna mvua wala el nino. ashenzi sana, wametupa hasara kubwa ku240-=452357zao
 
TMA washenzi sana. Nimelima nikisubiri mvua ije kumbe hakuna mvua wala el nino. ashenzi sana, wametupa hasara kubwa ku240-=452357zao
Mkuu, Mimi nimepata hasara kubwa kuliko wakati wowote
 
TMA ifike muda idhibitiwe, mwaka jana maeneno ya pwani hapa wiki hii wakisema sasa mvua zimefika ukingoni baada ya siku 2 -3 zinarudi kama kawaida na hapa watu wanaelekea kuvuna, wakija sema mvua zitaendelea mvua zinakata , wakirudi kusema mvua sasa zimekata zinaanza kupiga tena. --- japo mvua ni utabiri lakini hata wao walishindwa kuoiga kimya sasa maana mambo yanaenda hovyo
 
Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa TZ huwa haijitabirii tu ....

huwa wanachakata na kuchambua taarifa za za mamlaka mbali mbali za tabiri za mamlaka kubwa za hali ya hewa duniani kama

NOAA/NCEP — Marekani
Inayotoa modeli ya GFS (Global Forecast System), inayotabiri hali ya hewa duniani, ikiwemo Afrika Mashariki.
3. UK Met Office — Uingereza
4. DWD — Ujerumani
5. WMO — Shirika la Hali ya Hewa Duniani
Sio kituo kimoja tu tu cha TMA kinachotoa utabiri wote kiongozi
 
Huo ni utabiri, kuuata au kuacha ni hiari yako.
 
Ha ha ha jamaa unazingua sana.
 
Huwa nafatilia hii ishu ya El Nino na ninaona hata vyombo vikuu vya utabiri wa hali ya hewa bado vinashinikiza El Nino kuwepo tena kubwa kuwahi kutokea.

So tusiwalaumu TMA pekee maana na wao wanachukua taarifa kutoka vyombo vilivyo juu yao zaidi.
 
Changamoto ni kukariri kutoka kwa wengine. Kizazi hiki kina wajinga wengi wa kuiga na kukariri mambo.
El Nino inatokea bahari ya Pacific, inahusu nchi zilizopakana nayo.
Africa inapakana na bahari za Hindi na Atlantic. Effect za El Nino ni very minimal.
 
Endeleeni kukejeli taaluma za watu,kwanza mngeshukuru mpaka sasa haijanyesha. Watoto wa 2000 hamjui madhara ya Eli Nino.
 

Utabiri wa uwepo wa El nino sio wa TMA ni utabiri wa mashirika yote ya hali ya hewa duniani...
 
Naomba coment yako tuipin mkuu.
Nami naelewa hivyo
 
Haya sasa TMA watu wanadai mvua zao huku,mje kuwalipa🤣😁😁😁🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…