TMA isipopelekwa mahakamani, haitajifunza, inatia hasara wakulima

Kalime bondeni,muda bado upo
 
Unashtaki vipi Waganga wa hali ya Hewa (kutabiri,kubashiri ndio kubet kwenyewe huko yaani kutokuwa na Uhakika
Wenda Ikawepo au Isiwepo)..
 
🀭
 
Mkuu unaelewa maana ya neno utabiri,maana ya utabiri ni kitu ambacho kinaweza kutokea au kutokutokea.
Alafu kingine elimino ni inaweza kuwa mvua kupita kiasi au inaweza kusababisha ukame kupita kiasi.
Mkuu utabiri sio kwamba jambo linweza tokea au lisitokee. Utabiri ni kuweza kuona (foresee) jambo litakakalotokea mbeleni na kuliweka wazi. Hii mamlaka yetu ya hewa yenyewe ni hewa- very incompitent.
 
Waziri waambo ya utabiri wa hali ya hewa ni Bashite, Wanu na Chalamila πŸ˜…
 
Wanyang'anywe vifaa, inawezekana wanatumia hivyo vifaa kwa ajili ya kula kwa urefu wa kamba zao kama walivyoshauriwa na aliye waajiri. Wanapaswa kutolewa kwa viboko huko ofisi za umma, ni wachonganishi na wazandiki...kama hawana elimu wasilete taharuki nchini
 
😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…