TMA, kuna tofauti gani ya msanii bora wa kiume/kike na msanii bora wa kiume/kike bongo fleva?

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
180
Reaction score
204
Habari,

Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
 
Habari,

Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
TMA, kuna tofauti gani ya msanii bora wa kiume/kike na msanii bora wa kiume/kike bongo fleva?

Mimi hii HEADING yako sijaielewa
 
Kwahiyo kulikuwa na tuzo na hamsemi!!!

Haya ni akina nani walipata?
 
Back
Top Bottom