johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata hatujui, utabiri!!Sasa kutakuwa na Ukame mwaka huu au Mvua kubwa??
Tumeshachoka na hizi Tahadhari za TMA. Halafu kwanini mnawashauri Watu wa Mabondeni wahame wakati Wao Wenyewe wanapenda kukumbwa na Mafuriko ili Wafe na wapumzike na Maisha magumu waliyonayo?Utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.
Wananchi wa mabindeni chukueni tahadhari.
Source: ITV habari
Tumeshachoka na hizi Tahadhari za TMA. Halafu kwanini mnawashauri Watu wa Mabondeni wahame wakati Wao Wenyewe wanapenda kukumbwa na Mafuriko ili Wafe na wapumzike na Maisha magumu waliyonayo?
Hahahaaaa.......Kigwangalla alikutana na twiga!
Makamba akisikia hivyo anatoa macho balaa maana kisingizio kimeota mbawaUtabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.
Wananchi wa mabindeni chukueni tahadhari.
Chanzo: ITV habari
Dar yote hii ni bonde moja kubwa tu, kwahiyo Dar yote tuchukue tahadhariUtabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.
Wananchi wa mabindeni chukueni tahadhari.
Chanzo: ITV habari
Mbona hawa hawaelewi kiUtabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.
Wananchi wa mabondeni chukueni tahadhari.
Chanzo: ITV habari
Tofautisha bonde na bondeni bwashee!Dar yote hii ni bonde moja kubwa tu, kwahiyo Dar yote tuchukue tahadhari
Bondeni ni sehemu penye bonde, unataka tofauti gani tena hapo? Dar ipo bondeni relative na maeneo mengineTofautisha bonde na bondeni bwashee!
Bonde Ni noun au nomino na bondeni Ni kielezi au adverb Ila Ni kitu kimoja mkuuTofautisha bonde na bondeni bwashee!
Shauri yako kama unawaamini TMA wanaotabiri mvua ikisha nyesha!Utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.
Wananchi wa mabondeni chukueni tahadhari.
Chanzo: ITV habari
Hahaha hiki ni nini tena....bora wakae kimya...nchi ipo hoi kwelikweli au nasema uongo ndugu zangu...Utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.
Wananchi wa mabondeni chukueni tahadhari.
Chanzo: ITV habari
Hiyo ilikuwa maandaliza ya Dowans watu wapige pesa, dili limebumaThat is NONSENSE, Mlisema kuna ukame 🐒