TMA: Leo Desemba 3, 2021 kutakuwa na mvua kubwa katika maeneo ya Pwani, wa mabondeni chukueni tahadhari

Sasa kutakuwa na ukame mwaka huu au Mvua kubwa??
Hiyo habari ya ukame iliandaliwa maksudi ili kudhoofisha ujenzi wa bwawa la umeme. Ilikuwa ni mpango mahsusi wa kuonyesha kwamba umeme wa maji si msaada kwa sasa.

Fikilia kwa zaidi ya miaka minne iliyopita mvua imekuwa ikinyesha zaidi ya kiwango iweje ndani ya kipindi kifupi sana mito inayopeleka maji katika mabwawa iwe imekauka na hayo mabwawa ya umeme yawe yameishiwa maji?

MWEZI JANUARY NI JANGA LA TAIFA
 
Utabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.

Wananchi wa mabondeni chukueni tahadhari.

Chanzo: ITV habari
Kuna wapuuzi watakuja hapa na kuanza kumshukuru SSH
 
Hiyo habari ya ukame iliandaliwa maksudi ili kudhoofisha ujenzi wa bwawa la umeme. Ilikuwa ni mpango mahsusi wa kuonyesha kwamba umeme wa maji si msaada kwa sasa.

Fikilia kwa zaidi ya miaka minne iliyopita mvua imekuwa ikinyesha zaidi ya kiwango iweje ndani ya kipindi kifupi sana mito inayopeleka maji katika mabwawa iwe imekauka na hayo mabwawa ya umeme yawe yameishiwa maji?

MWEZI JANUARY NI JANGA LA TAIFA
Hakukuwa na sababu zozote za kutishiana kama kutakuwa na mgao wa umeme kisa maji yamepungua sijui! Bila yule Meneja wa Mtera kuwaukbua ile siku mgao ungeendelea, unatangaza vip mgao kisa maji wakati mtera ingeweza kuzalisha zaidi ya miezi 7 kwa kiwango cha juu ata kama mvua hazitonyesha kwa miezi 7 yote iyo? Kwani waliambiwa mvua hazitokuwepo kabisa au zitachelewa?
 
Habari mbaya sana hii kwa makamba na co..mana wataaambia nini tena watz kuhusina na mgao wa umeme..ili wapige dili za mitambo ya kuzalishia umeme.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya hizo zimekuja ,
Utaskia tunamuomba mama Samia azuie mvua🤦‍♂️.
 
Hakukuwa na sababu zozote za kutishiana kama kutakuwa na mgao wa umeme kisa maji yamepungua sijui! Bila yule Meneja wa Mtera kuwaukbua ile siku mgao ungeendelea, unatangaza vip mgao kisa maji wakati mtera ingeweza kuzalisha zaidi ya miezi 7 kwa kiwango cha juu ata kama mvua hazitonyesha kwa miezi 7 yote iyo? Kwani waliambiwa mvua hazitokuwepo kabisa au zitachelewa?
Mkuu hayo ni maandalizi mujarabu ya kupiga chini ujenzi wa bwawa la Nyerere. Mama anaingizwa chaka nae anaingia kichwa kichwa.

Bila aibu Jan anasema ndani ya siku mbili atapata ufumbuzi wa mgao wa umeme. Sijui anatuona watz wote ni mazuzu!! Kama kweli mabwawa yamekauka waziri apate ufumbuzi wa kukatika kwa umeme ndani ya siku mbili!!
 
Back
Top Bottom