dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
TMA ifutwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo habari ya ukame iliandaliwa maksudi ili kudhoofisha ujenzi wa bwawa la umeme. Ilikuwa ni mpango mahsusi wa kuonyesha kwamba umeme wa maji si msaada kwa sasa.Sasa kutakuwa na ukame mwaka huu au Mvua kubwa??
Kuna wapuuzi watakuja hapa na kuanza kumshukuru SSHUtabiri wa hali ya hewa uliotolewa na TMA umeonyesha kanda ya Pwani itakuwa na mvua kubwa siku ya leo.
Wananchi wa mabondeni chukueni tahadhari.
Chanzo: ITV habari
Mawingu?Na imeanza kweli !
Huyo ni Simba wa msimbazi hana madhara.
Hakukuwa na sababu zozote za kutishiana kama kutakuwa na mgao wa umeme kisa maji yamepungua sijui! Bila yule Meneja wa Mtera kuwaukbua ile siku mgao ungeendelea, unatangaza vip mgao kisa maji wakati mtera ingeweza kuzalisha zaidi ya miezi 7 kwa kiwango cha juu ata kama mvua hazitonyesha kwa miezi 7 yote iyo? Kwani waliambiwa mvua hazitokuwepo kabisa au zitachelewa?Hiyo habari ya ukame iliandaliwa maksudi ili kudhoofisha ujenzi wa bwawa la umeme. Ilikuwa ni mpango mahsusi wa kuonyesha kwamba umeme wa maji si msaada kwa sasa.
Fikilia kwa zaidi ya miaka minne iliyopita mvua imekuwa ikinyesha zaidi ya kiwango iweje ndani ya kipindi kifupi sana mito inayopeleka maji katika mabwawa iwe imekauka na hayo mabwawa ya umeme yawe yameishiwa maji?
MWEZI JANUARY NI JANGA LA TAIFA
Mkuu hayo ni maandalizi mujarabu ya kupiga chini ujenzi wa bwawa la Nyerere. Mama anaingizwa chaka nae anaingia kichwa kichwa.Hakukuwa na sababu zozote za kutishiana kama kutakuwa na mgao wa umeme kisa maji yamepungua sijui! Bila yule Meneja wa Mtera kuwaukbua ile siku mgao ungeendelea, unatangaza vip mgao kisa maji wakati mtera ingeweza kuzalisha zaidi ya miezi 7 kwa kiwango cha juu ata kama mvua hazitonyesha kwa miezi 7 yote iyo? Kwani waliambiwa mvua hazitokuwepo kabisa au zitachelewa?
Nimempigia jamaa yuko Kigamboni anasema mvua inanyesha,hii ni habari nzuri kwetu wakulima...Na imeanza kweli !
Hata kimara inanyesha.Nimempigia jamaa yuko Kigamboni anasema mvua inanyesha,hii ni habari nzuri kwetu wakulima...