GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sayansi ndivyo ilivyo. Halina absolute answers/solutions - the truth of anything is subject to new findings/changes in the nature of things. Hivyo, vipimo vinaweza kuonyesha occurrence of a cyclone and all a sudden kukatokea change in the atmosphere in the area of high pressure vs low pressure, then mabadiliko in the occurrence lazima yatokee na hili siyo tatizo la TMA at all.Nilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu.
TMA mmenikera mno na Kunikosesha Tsh 500,000/= kwa Utabiri wenu wa Bahati Nasibu ambao niliingia chaka na Kuwaamini. Labda Azam FC Usiku leo watanirejesha katika Furaha yangu pale watakaponifungia Wapuuzi fulani hivi wa Kariakoo.
Sasa kwa nini watanzania tunaambiwa tuwasikilize wanasayansi kwenye swala LA Corona Tanzania kuwa IPO wakati Mungu katuepusha nayoSayansi ndivyo ilivyo. Halina absolute answers/solutions - the truth of anything is subject to new findings/changes in the nature of things. Hivyo, vipimo vinaweza kuonyesha occurrence of a cyclone and all a sudden kukatokea change in the atmosphere in the area of high pressure vs low pressure, then mabadiliko in the occurrence lazima yatokee na hili siyo tatizo la TMA at all.
Kwa sababu tangu uzaliwe hadi hadi leo umekuwa ukitumia sayansi hiyo hiyo. Mfano, sayansi ndiyo imekufanya uchanjwe chanjo ukiwa mdogo, ukiugua unaenda hospitali, ukitaka kusafiri unatumia baiskeli, gari, meli, treni au ndege; kupata ya taarifa unasoma magazeti, sikiliza radio au kuangalia TV, kuwasiliana unatumia simu, email, telex nk; unapata elimu shuleni, leo unaweza kuongea Kiswahili au lugha zingine kutokana na sayansi pia. Aidha umevaa nguo, viatu, umejenga nyumba na unasomesha watoto wako kutokana na sayansi hiyo hiyo...Mungu kama ni kukuepusha na corona, nayo imetokana na sayansi - maana bila hiyo sayansi ungejuaje corona ipo na ina madhara kwa binadamu? Usingejua kama kuna kuugua, kupona au kufariki bila sayansi...Sasa kwa nini watanzania tunaambiwa tuwasikilize wanasayansi kwenye swala LA Corona Tanzania kuwa IPO wakati Mungu katuepusha nayo
Nimeambiwa kuwa Kamari ni mchezo wa wagonjwa wa akili....Nilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu.
TMA mmenikera mno na Kunikosesha Tsh 500,000/= kwa Utabiri wenu wa Bahati Nasibu ambao niliingia chaka na Kuwaamini. Labda Azam FC Usiku leo watanirejesha katika Furaha yangu pale watakaponifungia Wapuuzi fulani hivi wa Kariakoo.
Huu si ni utabiri ndugu yangu!?!?Nilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu.
TMA mmenikera mno na Kunikosesha Tsh 500,000/= kwa Utabiri wenu wa Bahati Nasibu ambao niliingia chaka na Kuwaamini. Labda Azam FC Usiku leo watanirejesha katika Furaha yangu pale watakaponifungia Wapuuzi fulani hivi wa Kariakoo.
Corona ilipungua sana kuanzia march 17 mwaka huu ila itaisha rasmi baada ya kupiga kichwa kimoja kilichobaki kwenye ule mhimili rubber stamp!Sasa kwa nini watanzania tunaambiwa tuwasikilize wanasayansi kwenye swala LA Corona Tanzania kuwa IPO wakati Mungu katuepusha nayo
Sasa kwa nini watanzania tunaambiwa tuwasikilize wanasayansi kwenye swala LA Corona Tanzania kuwa IPO wakati Mungu katuepusha nayo
Mtaani kwangu hatujazika MTU kwa miezi saba kwa sababu yeyote iwe korona au ugonjwa wowote au kwa kibaka kupigwa na wananchi .Corona mtaa wetu haipo labda kwenuKwahiyo haipo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Prince Dube ashawaJobosha UtopoloNilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu.
TMA mmenikera mno na Kunikosesha Tsh 500,000/= kwa Utabiri wenu wa Bahati Nasibu ambao niliingia chaka na Kuwaamini. Labda Azam FC Usiku leo watanirejesha katika Furaha yangu pale watakaponifungia Wapuuzi fulani hivi wa Kariakoo.