TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara

Tayari kimeanza nipo FORMULA ONE FITNESS GYM hapa city mall
How trainers wawili bado wapo?? Huyo mrefu na mfupi?? Wapo peace sana jamaa ...kama hutaki kutambi waone hao..ila mwenye hiyo gym pesa nyingi anachaji fivaa having ubora.
 
Mkuu Mungik,

Kwa kweli huwa namleta Wife, ila ni sehemu nzuri sana na wengi wanaoingia naona ni wasomali, wahindi na wazungu. Hata hii pool table nje sijawahi kukuta watu black hapa.

Huwa unafanya hapo mazoezi?
 
Tunamshukuru . . . Maana vimbunga hivi tulikuwa tunavisikia tu huko Marekani.
 
UWEPO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA MTWARA

Dar es Salaam, 02 Mei 2024:

Kufuatia taarifa iliyotolewa jana tarehe 01 Mei, 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya Mtwara, mgandamizo huo mdogo wa hewa umeendelea kuimarika na kuwa kimbunga “HIDAYA” chenye nguvu ya kati, kikiwa umbali wa takriban Kilomita 506 mashariki mwa pwani ya Mtwara.

Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa baharini inaonesha uwezekano mkubwa wa Kimbunga “HIDAYA”, kusogea karibu kabisa na pwani ya Tanzania kuanzia usiku wa leo tarehe 02 Mei 2024 na kuendelea kuwepo hadi tarehe 06 mwezi Mei 2024. Hata hivyo, kimbunga hicho kinatarajiwa kupungua nguvu baada ya tarehe 6 Mei 2024.

Uwepo wa kimbunga “HIDAYA” karibu na pwani ya nchi yetu unatarajiwa kutawala na kuathiri mifumo ya hali ya hewa hapa chini ikiwa ni pamoja na kusababisha vipindi vya mua kubwa na upepo mkali katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, visiwa vya Unguja na Pemba na maeneo ya jirani hususan tarehe 3 Mei 2024 kwa maeneo ya pwani ya kusini (Lindi na Mtwara) na kusambaa katika maeneo mengine ya ukanda wa pwani kuelekea tarehe 4 hadi 6 Mei 2024.

USHAURI: Wananchi katika maeneo tajwa na wote wanaojihusisha na shughuli mbalimbali baharini wanashauriwa kuchukua tahadhari kubwa na pia kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri na tahadhari kutoka TMA, na kupata ushauri na miongozo ya wataalam katika sekta husika ili kujikinga na athari zinazoweza kujitokeza. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kufuatilia mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” na athari zake kwa mifumo ya hali ya hewa hapa chini na itaendelea kutoa taarifa mara kwa mara kila inapobidi.

Imetolewa na: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.
Hayo majina Hidaya siju Catrina huwa yanatolewa kwa vigezo gani
 
Kuna nabii alitabiri Dar itazama kwenye maji mwezi Mei.
Nawaombeni mumlilie Mungu msifanye mzaha.
1 Thes 5:20
Yeye mwenyewe bado yuko Dar mpaka sasa kwanini haondoki?
Anawashauri wenzake wauze mali zao au wazigawe kwa kanisa lake, swali linakuja kwanini wampe yeye kama zinatarajiwa kuharibiwa?
 
Jamani
Naombeni msaada wapi naweza nunua dollar maana nimeenda mpaka posta wanasema hakuna
Msaada tafadhali kwa anaejuwa ni wapi naweza pata
Unataka kiasi gani? Sema ili nimpe mweka azina wangu maelekezo,
1000$, 2000$, 100,000$ au?
 
Vijana wa hovyo
IMG-20240502-WA0050.jpg
 
UWEPO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA MTWARA

Dar es Salaam, 02 Mei 2024:

Kufuatia taarifa iliyotolewa jana tarehe 01 Mei, 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya Mtwara, mgandamizo huo mdogo wa hewa umeendelea kuimarika na kuwa kimbunga “HIDAYA” chenye nguvu ya kati, kikiwa umbali wa takriban Kilomita 506 mashariki mwa pwani ya Mtwara.

Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa baharini inaonesha uwezekano mkubwa wa Kimbunga “HIDAYA”, kusogea karibu kabisa na pwani ya Tanzania kuanzia usiku wa leo tarehe 02 Mei 2024 na kuendelea kuwepo hadi tarehe 06 mwezi Mei 2024. Hata hivyo, kimbunga hicho kinatarajiwa kupungua nguvu baada ya tarehe 6 Mei 2024.

Uwepo wa kimbunga “HIDAYA” karibu na pwani ya nchi yetu unatarajiwa kutawala na kuathiri mifumo ya hali ya hewa hapa chini ikiwa ni pamoja na kusababisha vipindi vya mua kubwa na upepo mkali katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Dar es Salaam, Tanga, Morogoro, visiwa vya Unguja na Pemba na maeneo ya jirani hususan tarehe 3 Mei 2024 kwa maeneo ya pwani ya kusini (Lindi na Mtwara) na kusambaa katika maeneo mengine ya ukanda wa pwani kuelekea tarehe 4 hadi 6 Mei 2024.

USHAURI: Wananchi katika maeneo tajwa na wote wanaojihusisha na shughuli mbalimbali baharini wanashauriwa kuchukua tahadhari kubwa na pia kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri na tahadhari kutoka TMA, na kupata ushauri na miongozo ya wataalam katika sekta husika ili kujikinga na athari zinazoweza kujitokeza. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kufuatilia mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” na athari zake kwa mifumo ya hali ya hewa hapa chini na itaendelea kutoa taarifa mara kwa mara kila inapobidi.

Imetolewa na: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.
Ngoja niende morogoro pakitulia ntarud..

Yasije tokea Yale ya Katrina duu ukiangalia kupitia story book ya wasafi Ni balaa
 
" wewe kimbunga kilichopita ulitoa jina la shangazi yako nasemaje kimbunga hiki nakipa jina la mchepuko wangu Hidaya" kimasiala masiala kumbe ndivyo ilivyokua😆😆😆
 
Jamani
Naombeni msaada wapi naweza nunua dollar maana nimeenda mpaka posta wanasema hakuna
Msaada tafadhali kwa anaejuwa ni wapi naweza pata
Unataka dollars ngapi na upo Wapi?
 
Wote marehemu waache wapumzike kwa amani.
Africa hakuna kupumzika kwa amani,,, ukiwa hai life litakusumbua na kukutandika, ukifa utasumbuliwa na walio hai uwapige tafu muhenga wao
 
Back
Top Bottom