TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara

TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara

Cha kawaida 75kmph
 
Attachments

  • Screenshot_20240502-205416_Zoom Earth.jpg
    Screenshot_20240502-205416_Zoom Earth.jpg
    539.3 KB · Views: 1
Umeisoma hiyo taarifa ya TMA vizuri?au akili uliiacha madhabauni Kwa huyo nabii ukatoka fuvu tupu.
Kama kuwakumbusha ninyi kumlilia Mungu tafsiri yake ndiyo hiyo ,basi ni kweli nilotoka na fuvu tupu
 
Kama kimbunga Jobo alishindwa kutua anga la Tanganyika, huyo binti hidaya atatuweza? Kesho utasikia kimepotelea somalia
 
Kama kuwakumbusha ninyi kumlilia Mungu tafsiri yake ndiyo hiyo ,basi ni kweli nilotoka na fuvu tupu
Mwanadamu hawezi kukumbushwa kumlilia Mungu Kwa Sababu Mwanadamu ni ukamilisho wa utukufu wake.Sasa Mwanadamu akumbushwe Tena?
 
Back
Top Bottom