TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara

Tayari kimeanza nipo FORMULA ONE FITNESS GYM hapa city mall
How trainers wawili bado wapo?? Huyo mrefu na mfupi?? Wapo peace sana jamaa ...kama hutaki kutambi waone hao..ila mwenye hiyo gym pesa nyingi anachaji fivaa having ubora.
 
How trainers wawili bado wapo?? Huyo mrefu na mfupi?? Wapo peace sana jamaa ...kama hutaki kutambi waone hao..ila mwenye hiyo gym pesa nyingi anachaji fivaa having ubora.
Mkuu Mungik,

Kwa kweli huwa namleta Wife, ila ni sehemu nzuri sana na wengi wanaoingia naona ni wasomali, wahindi na wazungu. Hata hii pool table nje sijawahi kukuta watu black hapa.

Huwa unafanya hapo mazoezi?
 
Tunamshukuru . . . Maana vimbunga hivi tulikuwa tunavisikia tu huko Marekani.
 
Hayo majina Hidaya siju Catrina huwa yanatolewa kwa vigezo gani
 
Kuna nabii alitabiri Dar itazama kwenye maji mwezi Mei.
Nawaombeni mumlilie Mungu msifanye mzaha.
1 Thes 5:20
Yeye mwenyewe bado yuko Dar mpaka sasa kwanini haondoki?
Anawashauri wenzake wauze mali zao au wazigawe kwa kanisa lake, swali linakuja kwanini wampe yeye kama zinatarajiwa kuharibiwa?
 
Jamani
Naombeni msaada wapi naweza nunua dollar maana nimeenda mpaka posta wanasema hakuna
Msaada tafadhali kwa anaejuwa ni wapi naweza pata
Unataka kiasi gani? Sema ili nimpe mweka azina wangu maelekezo,
1000$, 2000$, 100,000$ au?
 
Ngoja niende morogoro pakitulia ntarud..

Yasije tokea Yale ya Katrina duu ukiangalia kupitia story book ya wasafi Ni balaa
 
" wewe kimbunga kilichopita ulitoa jina la shangazi yako nasemaje kimbunga hiki nakipa jina la mchepuko wangu Hidaya" kimasiala masiala kumbe ndivyo ilivyokua😆😆😆
 
Jamani
Naombeni msaada wapi naweza nunua dollar maana nimeenda mpaka posta wanasema hakuna
Msaada tafadhali kwa anaejuwa ni wapi naweza pata
Unataka dollars ngapi na upo Wapi?
 
Wote marehemu waache wapumzike kwa amani.
Africa hakuna kupumzika kwa amani,,, ukiwa hai life litakusumbua na kukutandika, ukifa utasumbuliwa na walio hai uwapige tafu muhenga wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…