heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 6,736 Reaction score 10,669 May 2, 2024 #41 Cha kawaida 75kmph Attachments Screenshot_20240502-205416_Zoom Earth.jpg 539.3 KB · Views: 1
C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 May 2, 2024 #42 Puna said: Umeisoma hiyo taarifa ya TMA vizuri?au akili uliiacha madhabauni Kwa huyo nabii ukatoka fuvu tupu. Click to expand... Kama kuwakumbusha ninyi kumlilia Mungu tafsiri yake ndiyo hiyo ,basi ni kweli nilotoka na fuvu tupu
Puna said: Umeisoma hiyo taarifa ya TMA vizuri?au akili uliiacha madhabauni Kwa huyo nabii ukatoka fuvu tupu. Click to expand... Kama kuwakumbusha ninyi kumlilia Mungu tafsiri yake ndiyo hiyo ,basi ni kweli nilotoka na fuvu tupu
N nabiidaniel JF-Expert Member Joined Feb 25, 2014 Posts 1,937 Reaction score 2,678 May 2, 2024 #43 Kama kimbunga Jobo alishindwa kutua anga la Tanganyika, huyo binti hidaya atatuweza? Kesho utasikia kimepotelea somalia
Kama kimbunga Jobo alishindwa kutua anga la Tanganyika, huyo binti hidaya atatuweza? Kesho utasikia kimepotelea somalia
Puna JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 2,551 Reaction score 4,454 May 3, 2024 #44 Cashman said: Kama kuwakumbusha ninyi kumlilia Mungu tafsiri yake ndiyo hiyo ,basi ni kweli nilotoka na fuvu tupu Click to expand... Mwanadamu hawezi kukumbushwa kumlilia Mungu Kwa Sababu Mwanadamu ni ukamilisho wa utukufu wake.Sasa Mwanadamu akumbushwe Tena?
Cashman said: Kama kuwakumbusha ninyi kumlilia Mungu tafsiri yake ndiyo hiyo ,basi ni kweli nilotoka na fuvu tupu Click to expand... Mwanadamu hawezi kukumbushwa kumlilia Mungu Kwa Sababu Mwanadamu ni ukamilisho wa utukufu wake.Sasa Mwanadamu akumbushwe Tena?
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 May 4, 2024 #45 TANESCO wamepata sababu
kepha_006 JF-Expert Member Joined Apr 17, 2020 Posts 403 Reaction score 736 May 4, 2024 #46 CalvinPower said: Unataka kiasi gani? Sema ili nimpe mweka azina wangu maelekezo, 1000$, 2000$, 100,000$ au? Click to expand... Dollar 2000
CalvinPower said: Unataka kiasi gani? Sema ili nimpe mweka azina wangu maelekezo, 1000$, 2000$, 100,000$ au? Click to expand... Dollar 2000