TMK Wanaume Family v/s TMK Wanaume Halisi

TMK Wanaume Family v/s TMK Wanaume Halisi

MNYWABUJU

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
260
Reaction score
327
Habari wa jukwaa

Katika muziki wetu hasa Wa bongofleva , kuliibuka makundi mawili yaliohasiana kutoka kundi moja LA TMK WANAUME lililokuwa na maskani yake pande za temeke na kuibuka makundi mawili ya muziki TMK WANAUME HALISI lililokuwa chini ya Juma Nature na Ispector Haroun, lililotamba na vibao kama.

1. Tatu bila
2. Ndege Tunduni
3. Tunaungaunga
4. Unga Robo ft Prof J, Fid Q
5. Siwez Kuwa Nawe ft Joseline
6. Mzamiaji. NK.

Na kundi laTMK WANAUME FAMILY lililokuwa chini ya Chege na Temba
lililotamba na vibao kama

1. Chama kubwa ft tip top
2. WANAUME ndio zetu
3. Kichwa kinauma
4. Pisha Njia
5. Twende
6. Chai

Je, ni kundi gani lilifanya vizuri zaidi ya lenzake baada ya kujitenga?

CORONA NI HATARI CHUKUA HATUA.
 
Nina wasiwasi na uhusika wa inspector Haroun.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walivyotengana tu, wote wakatoa kama nyimbo mbili mbili nzuri kisha makundi yote yakapotea kwenye ramani.
Wanaume halisi wakasambaratika hata tusiwasikie tena.

Wanaume familia wakatengana (bila kelele).
Temba na chegge wakasonga mbele kivyao na wakatisha na magoma kibao. Baadaye Temba naye pumzi ikakata Chegge akasonga mbele kivyake na akatusua sana.

Conclusion : TMK ilikuwa 'Konki' kabla ya kutemana. Baada ya hapo wote (kama makundi) walifeli.

-better late than never, but never late is better-
 
Habari wa jukwaa

Katika muziki wetu hasa Wa bongofleva , kuliibuka makundi mawili yaliohasiana kutoka kundi moja LA TMK WANAUME lililokuwa na maskani yake pande za temeke na kuibuka makundi mawili ya muziki TMK WANAUME HALISI lililokuwa chini ya Juma Nature na Ispector Haroun, lililotamba na vibao kama.

1. Tatu bila
2. Ndege Tunduni
3. Tunaungaunga
4. Unga Robo ft Prof J, Fid Q
5. Siwez Kuwa Nawe ft Joseline
6. Mzamiaji. NK.

Na kundi laTMK WANAUME FAMILY lililokuwa chini ya Chege na Temba
lililotamba na vibao kama

1. Chama kubwa ft tip top
2. WANAUME ndio zetu
3. Kichwa kinauma
4. Pisha Njia
5. Twende
6. Chai

Je, ni kundi gani lilifanya vizuri zaidi ya lenzake baada ya kujitenga?

CORONA NI HATARI CHUKUA HATUA.
Uzi wako umepoteza maana bila kuitaja Kazi ipo feat Q Chief...

Kifupi TMK family walikuwa vizuri, hao wengine walikuwa wanatoa kazi kwa miemko na ndo mana hawakudumu na ndo ukawa mwisho wa kiroboto!
 
Na kundi laTMK WANAUME FAMILY lililokuwa chini ya Chege na Temba
lililotamba na vibao kama

1. Chama kubwa ft tip top
2. WANAUME ndio zetu
3. Kichwa kinauma
4. Pisha Njia
5. Twende
6. Chai

Je, ni kundi gani lilifanya vizuri zaidi ya lenzake baada ya kujitenga?

CORONA NI HATARI CHUKUA HATUA.
Hzo nyimbo Chai na Ndio zetu zitoe bado walikuwa hawajatengana. Weka nyimbo zao KAZI IPO ft Q Chillah na DAR MPAKA MORO.

Kwangu TMK WANAUME FAMILY ilikuwa kali zaidi.
 
Walivyotengana tu, wote wakatoa kama nyimbo mbili mbili nzuri kisha makundi yote yakapotea kwenye ramani.
Wanaume halisi wakasambaratika hata tusiwasikie tena.

Wanaume familia wakatengana (bila kelele).
Temba na chegge wakasonga mbele kivyao na wakatisha na magoma kibao. Baadaye Temba naye pumzi ikakata Chegge akasonga mbele kivyake na akatusua sana.

Conclusion : TMK ilikuwa 'Konki' kabla yakutemana. Baada ya hapo wote (kama makundi) walifeli.

-better late than never, but never late is better-

Mzee una kumbukumbu asee ...
Tmk wanaume lilikuwa lipo njema, watu walivaa tshirts zao na kucheza style ya mapanga asee

Groups za bongo sijui kuna kisirani gani, huwa hazidumu kabisaa
 
Wanaume Family kuna vijana kama wawili hatunao tena(walifariki) majina yamenitoka...
Nadhani YP na YDash....mnaokumbuka mtatujuza zaidi...
 
Bila kuutaja wimbo wa wanaume kazini basi hujawatendea haki Wanaume Famliy
Kundi la TMK Wanaume Halisi liliundwa na:
- Juma Nature
- Inspector
- Luteni Kalama
- Doro
- D Chief
- Kaka Man
- Baba Levo
- Rich One
- Bob Q
- Abdul Mzimu
- Abdul Malipo

Na kundi la TMK Wanaume Family liliundwa na :
- Temba
- Chege
- KR
- YP (RIP)
- Y Dash
- Jebi (RIP)
- Zozo Wida
- Sticko
- Tripple A
- Lukeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo tshirts tu hadi makosa na vitambaa
Mzee una kumbukumbu asee ...
Tmk wanaume lilikuwa lipo njema, watu walivaa tshirts zao na kucheza style ya mapanga asee

Groups za bongo sijui kuna kisirani gani, huwa hazidumu kabisaa

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Haya makundi baada ya kutengana kundi ambalo lilionekana kufanya vzr ni lile la WANAUME FAMILY.

ILA kundi la WANAUME HALISI hili kwa kuwa lilikuwa linaongozwa na Mkuu wa TEMEKE , KIROBOTO, lilikuwa na Mtaji mkubwa wa Mashabiki kindakindaki kila wimbo kwao ilikuwa oyaoya .

Nature alikuwa mlezi wa Wana , alikuwa anapokea show kama Nature lkn alikuwa hawatupi "WANAE" atakata chake na kuwagawia kilichobaki wenzake na maisha yakasonga .
 
Kwangu mimi wanaume family walitisha

Ukija kusikiliza vizuri wimbo kama UMRI ndo utagundua wanaume harisi walikua sio wakushindana na hawa jamaa
FB_IMG_1587308301047.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom