MNYWABUJU
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 260
- 327
Habari wa jukwaa
Katika muziki wetu hasa Wa bongofleva , kuliibuka makundi mawili yaliohasiana kutoka kundi moja LA TMK WANAUME lililokuwa na maskani yake pande za temeke na kuibuka makundi mawili ya muziki TMK WANAUME HALISI lililokuwa chini ya Juma Nature na Ispector Haroun, lililotamba na vibao kama.
1. Tatu bila
2. Ndege Tunduni
3. Tunaungaunga
4. Unga Robo ft Prof J, Fid Q
5. Siwez Kuwa Nawe ft Joseline
6. Mzamiaji. NK.
Na kundi laTMK WANAUME FAMILY lililokuwa chini ya Chege na Temba
lililotamba na vibao kama
1. Chama kubwa ft tip top
2. WANAUME ndio zetu
3. Kichwa kinauma
4. Pisha Njia
5. Twende
6. Chai
Je, ni kundi gani lilifanya vizuri zaidi ya lenzake baada ya kujitenga?
CORONA NI HATARI CHUKUA HATUA.