Om is om
JF-Expert Member
- Jun 24, 2014
- 260
- 71
Hujanielewa mkuu, mi sisemei kuhusu maamuzi yao, kasoro ninayoiona ni namna wanavyoongea kama majaji.
Hebu soma comment ya mdau hapo No.14 ujue nilichomaanisha, amefafanua vizuri sana, namnukuu hapa ....U judge ni natural talent, ebu muone monalisa aki judge anavyojiachia yaani yupo free kuji express hisia zake kwa kiwango kinachotakiwa, hajazubaa mchangamfu na haboi.
Huyo roy anaweza kuwa hata na ma phd lakini u judge usi mfit, Yes the guy is boring somehow......
Kweli wanaboa hawaon kna madam rta kwny BSS na kna salama yn kwanz unachangamka da way wakiongea or ht wakpngana..bt ao kna richie mmh km joka la kibisa kwan mtu kua na dgree o tunzo ndo kusema yupo qualified kua jaj bana??