TMT show ya kina Monalisa on ITV

Kweli wanaboa hawaon kna madam rta kwny BSS na kna salama yn kwanz unachangamka da way wakiongea or ht wakpngana..bt ao kna richie mmh km joka la kibisa kwan mtu kua na dgree o tunzo ndo kusema yupo qualified kua jaj bana??
 
majaji wanajua sana... mleta uzi inaonyesha wewe huwa ndo unaanza kuwajudge
washiiriki hata kabla ya ma- judge kuwachambua...! thats y unawaona wanakosea..!!

wanaeza wakawa wanajaj bt hawatuvutii watazamaji for sure..thy ar boring!! bora wangekua maMC alf lulu na joti wae majaj

haaa
 
Mkuu mito, unaposema Roy anakuboa na pia "ndio kabisa hajiwezi" kwa vipi yani? Naona sijakupata uzuri!

anamaanisha hachangamshi jukwaa na hajiwezi kwamba yani roy kwa lulu hoi bin taaban kimapenzi....!
 
Huyo sarungi nimeshakutana nae kwenye pilika zangu. Kiukweli hana passion ya aina yoyote. Ni mkavu sana japo anaweza kuwa talented
 
Mkuu mito, unaposema Roy anakuboa na pia "ndio kabisa hajiwezi" kwa vipi yani? Naona sijakupata uzuri!

Anamaanisha hamuoni kwenye magazeti ya shigongo,so bado ajafuzu bongo muvi.
 
wanaeza wakawa wanajaj bt hawatuvutii watazamaji for sure..thy ar boring!! bora wangekua maMC alf lulu na joti wae majaj

haaa

You are in my line of thinking mkuu, thanks
 
anamaanisha hachangamshi jukwaa na hajiwezi kwamba yani roy kwa lulu hoi bin taaban kimapenzi....!

aaaha mkuu, mi namaanisha hapo pekundu tu, hayo mengine sina comment, teh teh teh!
 
Huyo sarungi nimeshakutana nae kwenye pilika zangu. Kiukweli hana passion ya aina yoyote. Ni mkavu sana japo anaweza kuwa talented

Mkuu unaweza kunipa majibu ya comment yangu No 33, samahani ila nimezingatia hapo kwa red
 
[QUOTE=Gossipcopwarumi; ni kweli monalisa yuko vizuri il a gossipcopwarumi unanichekeshaga sana yani una vituko huwaga natafuta comment zako
 
Sasa hicho ckitakuwa Kikao badala ujaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…