Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Nimeona design nyingi ya miradi ya serikali hasa majengo , ni ya hovyo hovyo na ya kitoto , design inapelekea jengo kuwa Baya na baada ya miaka miwili ya kupigwa jua jengo linaanza kupoteza mvuto.
Ni tofaut Kwa Hili jengo la idara ya maji lililopo karbu na chuo cha maji ubungo , design yake ya kibabe Sana , aliyechora huu mchoro salute Sana , na pongezi pia Kwa construction.....
Jengo linavutia , kama umefika Beijing vile.
Tafadhali Moderator Hamisha Uzi peleka jamii photo