To be honest Architecture wa jengo la Chuo cha maji nimemkubali

To be honest Architecture wa jengo la Chuo cha maji nimemkubali

Nimeona design nyingi ya miradi ya serikali hasa majengo , ni ya hovyo hovyo na ya kitoto , design inapelekea jengo kuwa Baya na baada ya miaka miwili ya kupigwa jua jengo linaanza kupoteza mvuto , Ni tofaut Kwa Hili jengo la idara ya maji lililopo karbu na chuo cha maji ubungo , design yake ya kibabe Sana , aliyechora huu mchoro salute Sana , na pongezi pia Kwa construction..... Jengo linavutia , kama umefika Beijing vile
View attachment 2479313
View attachment 2479315View attachment 2479316


Tafadhali Moderator Hamisha Uzi peleka jamii pho

Kama ni la chuo, itakuwa kuna ofisi, madarasa na hosteli. Kama ni la idara ya maji itakuwa na ofisi na pia vyumba vingine watapangishia watu ofisi na vyumba.
Mkuu hili jengo ni mali ya DAWASCO, ilikuwa iwe makao makuu ya wizara ya maji ilipohamuliwa wahamie dododma ndio DAWASCO wakapewa
 
Nimeona design nyingi ya miradi ya serikali hasa majengo , ni ya hovyo hovyo na ya kitoto , design inapelekea jengo kuwa Baya na baada ya miaka miwili ya kupigwa jua jengo linaanza kupoteza mvuto.

Ni tofaut Kwa Hili jengo la idara ya maji lililopo karbu na chuo cha maji ubungo , design yake ya kibabe Sana , aliyechora huu mchoro salute Sana , na pongezi pia Kwa construction.....

Jengo linavutia , kama umefika Beijing vile.

View attachment 2479313
View attachment 2479315View attachment 2479316


Tafadhali Moderator Hamisha Uzi peleka jamii photo
Tutake radhi Mkuu [emoji2297]
Siyo Architecture ni Architect!
Ni sawa na kumuita Mtu Engineering badala ya Engineer!
 
Nilitaka nikatafute picha huko ila umenirahusishia kazi kwake ajionee mwenyewe anaandikaandika tu
Yote ni maxuri , Ila hlo jengo la dawasco limenikosha zaidi , Lina mvuto wa Aina yake
 
Mwanga Tower
Screenshot_2023_0113_195251.jpg
 
Sasa dawasa wanalifanyia nini jengo lote hilo? Wakati floor moja tu inawatosha wao na wizara
Pale bil 23 za kumalizia zimetolewa na Dawasa.

Magufuli aliwahamisha Wizara wakawa hawana jinsi
 
Saiz ofisi zimeamia kwenye E office watafute namna ya kuyatumia hata kupangisha watu.
 
Back
Top Bottom