To be honest Architecture wa jengo la Chuo cha maji nimemkubali

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Nimeona design nyingi ya miradi ya serikali hasa majengo , ni ya hovyo hovyo na ya kitoto , design inapelekea jengo kuwa Baya na baada ya miaka miwili ya kupigwa jua jengo linaanza kupoteza mvuto.

Ni tofaut Kwa Hili jengo la idara ya maji lililopo karbu na chuo cha maji ubungo , design yake ya kibabe Sana , aliyechora huu mchoro salute Sana , na pongezi pia Kwa construction.....

Jengo linavutia , kama umefika Beijing vile.





Tafadhali Moderator Hamisha Uzi peleka jamii photo
 
Kwahiyo hilo likipigwa na jua halichakai? Halafu hilo jengo lote wanafanyia nini?
Kama ni la chuo, itakuwa kuna ofisi, madarasa na hosteli. Kama ni la idara ya maji itakuwa na ofisi na pia vyumba vingine watapangishia watu ofisi na vyumba.
 
architect wa hilo jengo ni mtz au mtu wa nje?.

kama ni mtanzania, naomba jina lake.kwa kweli jengo linavutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…