To be honest Architecture wa jengo la Chuo cha maji nimemkubali


Kama ni la chuo, itakuwa kuna ofisi, madarasa na hosteli. Kama ni la idara ya maji itakuwa na ofisi na pia vyumba vingine watapangishia watu ofisi na vyumba.
Mkuu hili jengo ni mali ya DAWASCO, ilikuwa iwe makao makuu ya wizara ya maji ilipohamuliwa wahamie dododma ndio DAWASCO wakapewa
 
Tutake radhi Mkuu [emoji2297]
Siyo Architecture ni Architect!
Ni sawa na kumuita Mtu Engineering badala ya Engineer!
 
Tutake radhi Mkuu [emoji2297]
Siyo Architecture ni Architect!
Ni sawa na kumuita Mtu Engineering badala ya Engineer!
Ahsante Kwa marekebisho chief
 
Nilitaka nikatafute picha huko ila umenirahusishia kazi kwake ajionee mwenyewe anaandikaandika tu
Yote ni maxuri , Ila hlo jengo la dawasco limenikosha zaidi , Lina mvuto wa Aina yake
 
Sasa dawasa wanalifanyia nini jengo lote hilo? Wakati floor moja tu inawatosha wao na wizara
Pale bil 23 za kumalizia zimetolewa na Dawasa.

Magufuli aliwahamisha Wizara wakawa hawana jinsi
 
Saiz ofisi zimeamia kwenye E office watafute namna ya kuyatumia hata kupangisha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…