To Kenyans kuhusu ile bandari mliyokua mkiibeza sasa kaeni mkao

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Hii bandari ya Bagamoyo iliwasumbua sana wakenya ikawa ndio kebehi kila kukicha humu ndani kwamba is the one big pink elephant project lakini mara paap

Huyu hapa mbia kwenye project hii akikagua na kujionea namna hii bandari itakavyokua, Ikumbukwe Oman inatarajia kujenga biggest industrial park in Bagamoyo pamoja na China hii bandari ikiwa ni kipaumbele.
IMG_20171020_090900.JPG

Waziri huyu anagonga kiswahili kama mtanzania vile lakini hata Africa hakuwahi kukanyaga maisha yake yote, msikilize mwenyewe akiongelea bandari hii na uwekezaji kwenye viwanda huko Bagamoyo.
 
Pili
fa7189fa471db66ffd1fe7dc4b4fe6f1.jpg

US$2.9bn state of the art expressway to be constructed in Kenya

Sep 27, 2017

4787

[https://constructionreviewonline1-groupafrica]
0d36f8d8171304307b287522f4bf247f.jpg

Kenya is eyeing to construct a brand new road between Mombasa and Nairobi instead of expanding the existing highway. Without upgrading the current road into an expressway, the government has decided to construct a completely new six-lane expressway to run side by side with the existing one.

Traveling options

In another three years, a Kenyan traveling from Mombasa to Nairobi will have at least four major options. If one chooses the Standard Gauge Railway (SGR), the train takes about five hours. In the case of taking a flight, they would land at the coastal town in an hour. However, when traveling by road, one will have the two roads to pick from.

The state-of-the art expressway will include 76 overpasses, 21 underpasses, 189 culverts and 20 interchanges. It will reduce the traveling duration in between the two cities to 3 and a half hours, plus the travelers will pass through 22 major towns which include: Emali, Mtito Andei, Voi, Mariakani among others; before reaching their destination.

Also read: Bechtel selected to build first high-speed expressway in Kenya

Moreover, the six-lane expressway project is under the execution of Bechtel Corporation, the largest construction and civil engineering company in America.

The contractor building the controversial expressway can sell it to another private contractor. The new contractor can charge users toll fees to recoup the billions invested in the project.
 
Haha,Nyangau in frustration,tunauliza mradi wa bandari mliobeza,mmeona upo au haupo?habari za expresseway,GDP na flyover zimetoka wapi?
Hii bandari ya Bagamoyo iliwasumbua sana wakenya ikawa ndio kebehi kila kukicha humu ndani kwamba is the one big pink elephant project lakini mara paap

Huyu hapa mbia kwenye project hii akikagua na kujionea namna hii bandari itakavyokua, Ikumbukwe Oman inatarajia kujenga biggest industrial park in Bagamoyo pamoja na China hii bandari ikiwa ni kipaumbele. View attachment 613101

Waziri huyu anagonga kiswahili kama mtanzania vile lakini hata Africa hakuwahi kukanyaga maisha yake yote, msikilize mwenyewe akiongelea bandari hii na uwekezaji kwenye viwanda huko Bagamoyo.
 
Hii bandari ya Bagamoyo iliwasumbua sana wakenya ikawa ndio kebehi kila kukicha humu ndani kwamba is the one big pink elephant project lakini mara paap

Huyu hapa mbia kwenye project hii akikagua na kujionea namna hii bandari itakavyokua, Ikumbukwe Oman inatarajia kujenga biggest industrial park in Bagamoyo pamoja na China hii bandari ikiwa ni kipaumbele. View attachment 613101

Waziri huyu anagonga kiswahili kama mtanzania vile lakini hata Africa hakuwahi kukanyaga maisha yake yote, msikilize mwenyewe akiongelea bandari hii na uwekezaji kwenye viwanda huko Bagamoyo.

Kaka huyu bwana alizaliwa na kukulia Pemba enzi za utawala wa Sultan huko Zanzibar, alianza masomo yake ya msingi huko Pemba hadi mapinduzi ya 1964 Sultan aliporudi kwa Oman, ndipo huyu na wazazi wake wakaenda Oman, anaijua vizuri sana Zanzibar
hehehehe!!
 
Sammuel999 ungewaonesha picha za watu wakisalimiana na mwarabu wangekuelewa sana hawa wadanganyika, wanapendaga stori ndeeefu si mambo ya kishua kama hayo ulochapia hapo juu. Anyway, hiyo highway mpya ya kuenda Mombasa iko juu tu sana.
 
Sammuel99post: 24038229 said:
Kenyas economy is bigger than that of oman but issorait!!....we loaned oman our airlines!!

Smh!! Its like Kenyas energy minister akuje kuzuru Bagamoyo muanze kiwika wika

06a904973c3dfd57e19f74aae17b7ca2.jpg
a29e54c14d0d38b1a546972addc4492b.jpg
Hahaha umeuwa na kuzika mtu msituni na haukuweka alama juu
 
Nimewachia Hii taarifa ya kipuzi hapa.

Huyu hapa mbia kwenye project hii akikagua na kujionea namna hii bandari itakavyokua,
 
Kenyas economy is bigger than that of oman but issorait!!....we loaned oman our airlines!!

Smh!! Its like Kenyas energy minister akuje kuzuru Bagamoyo muanze kiwika wika

06a904973c3dfd57e19f74aae17b7ca2.jpg
a29e54c14d0d38b1a546972addc4492b.jpg
Hahahaha... they are relying on a poor country?
 
On what grounds is Kenyan economy bigger than Oman?
Since our Nominal GDP
Total work and goods produced per year is 8bn$ more than Oman

Two since Kenya is like 10 times bigger than Oman

3 since there is atleast 500,000 omanis in mombasa and less than 30k kenyans in Oman

4 since swahili is a language in Oman

5 Kenyas airline is larger than oman revenue wise and fleetwise

6 If kenyans sat down today and decide to produce goods oman wont breath !!
 
Since our Nominal GDP
Total work and goods produced per year is 8bn$ more than Oman
.
And what do you say about this below?

Kenya

Screenshot-2017-10-20 Kenya - Wikipedia.png

Oman

Screenshot-2017-10-20 Oman - Wikipedia.png

You guys always use per capita as your metric, how come today you're ignoring your secret weapon? Oh, got it! You like to change goal posts every time things don't go your way.
 
Nikikumbuka kauli ya lukuvi alipokua akipiga kampeni nadhani zanzibar kua wasichague cuf coz ikishinda italeta tatizo kwan oman watarudi zanzibar na kutawala tena kuwafanya wazanzibar watumwa tena na wanaweza vuka hadi bara naona kwa mgongo wa ccm wanakuja wa oman kutembea na kuwekeza ujenzi wa bandari pia kuleta mafuta pia saf wawaangalie hao masultan wasije kutufanya watumwa tena
 
lol! nikiwaambia hawa watu ni wajinga huwa hamniskii...yaani Oman pia ni nchi ya kushangilia...kanchi kadogo pale Middle East...hii nchi haiwezi hata ika finance its own port, sembuse ya nchi nyingine....smh...meanwhile, Lamu Port is to start operations in 2018 with the first three berths nearing completion...wenzetu mbadilike, muache kusherehekea ujinga na mchape kazi...
 
how much is the cost??? 😀😀😀

wadanganyika bhana...
 
.
And what do you say about this below?

Kenya

View attachment 613391

Oman

View attachment 613392

You guy always use per capita as your metric, how come today you're ignoring your secret weapon? Oh, got it! You like to change goal posts every time things don't you your way.

GDP per capita is used when discussing living standards. Financing projects requires real economic might and is dependent on the absolute size of the economy. It's so painful to educate some of you guys... ..LAWD
 
Back
Top Bottom