REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hii bandari ya Bagamoyo iliwasumbua sana wakenya ikawa ndio kebehi kila kukicha humu ndani kwamba is the one big pink elephant project lakini mara paap
Huyu hapa mbia kwenye project hii akikagua na kujionea namna hii bandari itakavyokua, Ikumbukwe Oman inatarajia kujenga biggest industrial park in Bagamoyo pamoja na China hii bandari ikiwa ni kipaumbele.
Waziri huyu anagonga kiswahili kama mtanzania vile lakini hata Africa hakuwahi kukanyaga maisha yake yote, msikilize mwenyewe akiongelea bandari hii na uwekezaji kwenye viwanda huko Bagamoyo.