To Marry a Divorcee?

To Marry a Divorcee?

SI kwamba wananyanyapaliwa, ila ni too complicated to be with. Tunaongelea fact na hii complication si kwa sisi tu waafrika hata huko kwa wenzetu divorce zenye watoto ni utata mtupu kwa second marriage. Kama hakuna kids involved hakuna shida.

Da! Nimesikitishwa na baadhi ya comments zinazoonesha unyanyapaji kwa waliodivorcewa...hivi divorce ni laana mpaka ifikie hatua ya kunyanyapaliwa?. Sasa naanza kupata mwanga knn kuna watu wanabaki ndoani hata kama hiyo ndoa ni mateso kwa 100% kumbe wanaogopa kunyanyapaliwa na jamii baada ya divorce. IMENISIKITISHA SANA KUNYANYAPALIWA KWA DIVORCED PEOPLE, japo naamini divorced pia wana haki ya kupendwa na kupenda.
 
View attachment 35514

Today everyone bemoans the short life span of marriages in our society. Till death do us apart has now been shortened to just a few years or maybe even months. Sometimes, despite the hard work of both parties, things come to a grinding halt and the inevitable happens.....divorce. The stigma of divorce in our society weighs heavily on all those concerned, even more so when they choose to remarry.

Personally this is a tricky one. I know of a few couples who are happily remarried and moving on with their lives. No one plans to get married to a divorcee. But life has a way of getting in the way of our plans and we learn to make do. But what do you guys think? Are divorcee strictly off limits? Or do you think they actually make better partners? Would you date someone who had been divorced? Or are you currently dating/married to someone who was divorced? What are your thoughts?

As a divorcee once... my experience has shown me sometimes the best partner may be a divorcee....
 
Sikujua kama 'divorcees' ni kundi jingine la kunyanyapaa kwenye jamii...kweli nimejifunza kitu leo!
Riwa actually i am learing something here kuna jamaa namfahamu he's simply in love with the "divorcee" na ana mpango wa kumuoa sasa familia yake ndio imekuja juu kweli wanasema why a divorcee, so aliponiomba ushauri mimi nikamwambia kwani what is a problem
 
On second thought...may be you wanted to ask whether we should focus on the reasons for them to be divorced and gauge whether they can be re-marry or not?!
MJ1 knowing why someone separated from their partners doesn't really help, it takes two to tangle, some couples just bring worse to each other, some just don't learn from their mistakes because they don't think they are capable of making one, it's not about getting married but staying married
 
Si mbaya kumuoa/kuolewa na aliyeachika. Ila statistics za kutokea huko Marekani (sina uhakika kama zinawakilisha dunia nzima - ila binadam tunafanana kiasi) zinaonesha yafuatayo;
  • Hatari ya ndoa ya kwanza kuvunjika ni asilimia karibia 50. Yaani katika wapenzi mia (mke na mme) wanaofunga ndoa kwa mara ya kwanza wote, ndoa karibia hamsini (50%) zinaishia kwenye divorce!
  • Kwa wale wanaoolewa/kuoa kwa mara ya pili, hatari ya ndoa zao kuvunjika ni asilimia karibia 75. Yaani ndoa mia ambazo mmoja (au wote) kati ya wapenzi wale (a)wameshaachika mara moja huko nyuma, 75 katika ndoa hizo huishia kuvunjika. Yaani uwezekano wa ndoa kuvunjika huongezeka kadri mmoja wa wapenzi (au wote) anapokuwa ni divorcee
  • Kwa wale wanaooa/kuolewa kwa mara ya tatu (alishaachana mara mbili huko nyuma), akifunga ndoa leo nafasi ya ndoa hii ya tatu kuvunjika ni asilimia zaidi ya 80 (karibia asilimia 90).
Hii inakuambia nini? Mpenzi aliyekwishaachika, ni mgumu zaidi kuishi naye kuliko ambaye hajaachika. Inakuwa vigumu zaidi kadri ya idadi ya kuachika inavyozidi kuwa kubwa!

Ni vigumu sana kuishi na mtu ambaye ameshajeruhiwa/kujeruhi mtu mwingine kimapenzi. Haina maana kuwa haiwezekani, ila ni vigumu na data zinaonesha hivyo. Kwa hiyo "take care" kabla ya kumparamia aliyeachika.
 
Dah!!! KipimaPembe!!!!!
 
Na mimi nakubali asilimia mia kwa mia. Hata mimi hapa kama nikiweza ku divorce na mume wangu the next one ajue fika I will never torelate a thing from him, kwani najua it is possible to move on!
Si mbaya kumuoa/kuolewa na aliyeachika. Ila statistics za kutokea huko Marekani (sina uhakika kama zinawakilisha dunia nzima - ila binadam tunafanana kiasi) zinaonesha yafuatayo;
  • Hatari ya ndoa ya kwanza kuvunjika ni asilimia karibia 50. Yaani katika wapenzi mia (mke na mme) wanaofunga ndoa kwa mara ya kwanza wote, ndoa karibia hamsini (50%) zinaishia kwenye divorce!
  • Kwa wale wanaoolewa/kuoa kwa mara ya pili, hatari ya ndoa zao kuvunjika ni asilimia karibia 75. Yaani ndoa mia ambazo mmoja (au wote) kati ya wapenzi wale (a)wameshaachika mara moja huko nyuma, 75 katika ndoa hizo huishia kuvunjika. Yaani uwezekano wa ndoa kuvunjika huongezeka kadri mmoja wa wapenzi (au wote) anapokuwa ni divorcee
  • Kwa wale wanaooa/kuolewa kwa mara ya tatu (alishaachana mara mbili huko nyuma), akifunga ndoa leo nafasi ya ndoa hii ya tatu kuvunjika ni asilimia zaidi ya 80 (karibia asilimia 90).
Hii inakuambia nini? Mpenzi aliyekwishaachika, ni mgumu zaidi kuishi naye kuliko ambaye hajaachika. Inakuwa vigumu zaidi kadri ya idadi ya kuachika inavyozidi kuwa kubwa!

Ni vigumu sana kuishi na mtu ambaye ameshajeruhiwa/kujeruhi mtu mwingine kimapenzi. Haina maana kuwa haiwezekani, ila ni vigumu na data zinaonesha hivyo. Kwa hiyo "take care" kabla ya kumparamia aliyeachika.
 
Actually, they are the best. The bible says that "mke mwema anatoka kwa bwana." That is to say the divorced women are the better ones! I'm looking for one, if any, she may PM my inbox....

Referring to the bold phrase above, which bwana are you referring?...tehe
 
..... Mpenzi aliyekwishaachika, ni mgumu zaidi kuishi naye kuliko ambaye hajaachika. .....

Itakuwaje rahisi kuishi na mpenzi wa mtu?

Nadhani kila mmoja atafute mpenzi wake, awe kaachika au single, ni furaha kuliko kuishi na mpenzi ambaye hajaachika!
 
I think before marrying him/her better to know the reason for the devorce,which part had a problem and check for health,age etc.
it is true , ni muhimu kucheki sababu za msingi zilizopelekea divorce wakati mwingine huwa ni external forces zimewazidi hadi watu kuachana, na wakipata wenzi wapya ambao pengine hawatakuwa afffected na hizo forces they can make a good couple
 
Itakuwaje rahisi kuishi na mpenzi wa mtu?

Nadhani kila mmoja atafute mpenzi wake, awe kaachika au single, ni furaha kuliko kuishi na mpenzi ambaye hajaachika!
From my understanding of the bible, a divorcee should not even contemplate remarrying until the ex-partner dies and in the same vein a single person shouldn't marry a divorced partner as long as the ex-partner still lives.
 
Kutokana na understanding yako, uzi huu haukuhusu nadhani.
 
Refer...

clip_image001.gif

Today everyone bemoans the short life span of marriages in our society. Till death do us apart has now been shortened to just a few years or maybe even months. Sometimes, despite the hard work of both parties, things come to a grinding halt and the inevitable happens.....divorce. The stigma of divorce in our society weighs heavily on all those concerned, even more so when they choose to remarry.

Personally this is a tricky one. I know of a few couples who are happily remarried and moving on with their lives. No one plans to get married to a divorcee. But life has a way of getting in the way of our plans and we learn to make do. But what do you guys think? Are divorcee strictly off limits? Or do you think they actually make better partners? Would you date someone who had been divorced? Or are you currently dating/married to someone who was divorced? What are your thoughts?

From my understanding of the bible, a divorcee should not even contemplate remarrying until the ex-partner dies and in the same vein a single person shouldn't marry a divorced partner as long as the ex-partner still lives.
 
TF they are human too, deserve to love and be loved!! Besides they do not belong to someone else!!
umenikumbusha sredi moja ilikua inazungumzia kila mtu anahitaji love hata cheaters as well

I love you
 
Back
Top Bottom