nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
SI kwamba wananyanyapaliwa, ila ni too complicated to be with. Tunaongelea fact na hii complication si kwa sisi tu waafrika hata huko kwa wenzetu divorce zenye watoto ni utata mtupu kwa second marriage. Kama hakuna kids involved hakuna shida.
Da! Nimesikitishwa na baadhi ya comments zinazoonesha unyanyapaji kwa waliodivorcewa...hivi divorce ni laana mpaka ifikie hatua ya kunyanyapaliwa?. Sasa naanza kupata mwanga knn kuna watu wanabaki ndoani hata kama hiyo ndoa ni mateso kwa 100% kumbe wanaogopa kunyanyapaliwa na jamii baada ya divorce. IMENISIKITISHA SANA KUNYANYAPALIWA KWA DIVORCED PEOPLE, japo naamini divorced pia wana haki ya kupendwa na kupenda.