kuna...Hivi PM kazi yake ni nini??
hivi pm kazi yake nini? umeulizwaKwa furaha untazamapo machoni, nalia mimi nawehuka wallah billah
wewe ndo wind of money?? beb nimecheka vibaya mno unajua we chizi 😀😀😀 michezo gani hii sijazoea mimiPrivate message jaman
Hahahahahahhahahhahahahahahhahaha utazoea tu kidogo dogo sawa eeh hahahahahaha Mungu wangu nacheka hapa akili zako unazijua mwenyewe ujuewewe ndo wind of money?? beb nimecheka vibaya mno unajua we chizi 😀😀😀 michezo gani hii sijazoea mimi
Mie memjibu atuache tu pm ishajaa kurasa tele honey hahahahaha
Yaani hahahahhahahaha mnisamehe si makosa yetu
mkuu uzi utakushinda huu