To my Archduke

Hahahahahahhahahhahahahahahhahaha utazoea tu kidogo dogo sawa eeh hahahahahaha Mungu wangu nacheka hapa akili zako unazijua mwenyewe ujue
umenileta mwenyewe huku kule tulitulia vizuri tu
 
Ndio mimi vile nafeel right now, nataman nimgongee jiran nimwambie me napendwa huku hahaha mapenzi kitu kingine kabisa

Hahahahahaha!!!! Eti umgongee jirani.. Ukimpata anayekupenda mshikilie, furaha ya moyo ndio kila kitu....
 
Unakumbuka kwenye ule uzi wa my all tulokuwaga wanne tu?? Ulinambia kambi popote pale tutakapokua vumilia leo kambi iko hapa hun
nimekubali mimi askari mtiifu kwa boss wake
 
Hahahahahaha!!!! Eti umgongee jirani.. Ukimpata anayekupenda mshikilie, furaha ya moyo ndio kila kitu....
Exactly, iko hivo namuulizaga alikuwaga kakwama wapi akachelewa kuja namna hii, napendwa mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…