Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
umenileta mwenyewe huku kule tulitulia vizuri tuHahahahahahhahahhahahahahahhahaha utazoea tu kidogo dogo sawa eeh hahahahahaha Mungu wangu nacheka hapa akili zako unazijua mwenyewe ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenileta mwenyewe huku kule tulitulia vizuri tuHahahahahahhahahhahahahahahhahaha utazoea tu kidogo dogo sawa eeh hahahahahaha Mungu wangu nacheka hapa akili zako unazijua mwenyewe ujue
una hatari sana mdogo wangu hahahaha jana ukufanya komoa ule mjabari vipi??Mie memjibu atuache tu pm ishajaa kurasa tele honey hahahahaha
Ndio mimi vile nafeel right now, nataman nimgongee jiran nimwambie me napendwa huku hahaha mapenzi kitu kingine kabisa
nimekubali mimi askari mtiifu kwa boss wakeUnakumbuka kwenye ule uzi wa my all tulokuwaga wanne tu?? Ulinambia kambi popote pale tutakapokua vumilia leo kambi iko hapa hun
nilikuwa nasinzia pale nikaona ninyooshe mikono juu mwendo wa matekaHahahahahahahhahahahahahaha ile mood sjui ilitoka wapi wallah halaf tungekesha
Exactly, iko hivo namuulizaga alikuwaga kakwama wapi akachelewa kuja namna hii, napendwa mimi
always sweetheartAwww, that's my huniepie
me naimba we endelea kuwaza mambo yakoimefanyaje
hata mwandiko wako hujui mahaba gani haya?Nacheka kilichotaka kunitoke hun, ujue ile avatat meizoea bado nusu nijikwot hahahahha atasoma akija