[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaha nimeelewa sasa
Simjui huyo ni nani kwanza??Atakudedicate Saint Ivuga
Jeremiah gyang- comforterNidedicatie basi na mimi
[emoji120]Jeremiah gyang- comforter
Ed sheeran- perfect
Uzisikilize sasa[emoji120]
SawaUzisikilize sasa
ItakuaHahahhahahhaha dah nimemfananisha
Ana mimba jamani.Atakudedicate Saint Ivuga
Nipigia sasa hivi. Nataka nikirudi nikukute homeItakua
Karibu.Oooh asante kwa kunifahamisha
Acha wivu Da'VinciNasisi basi naona wivu akii
Sasa punguza wivu ila zidisha jitihada kwenye kutafuta mtu sahihi huku ukimshirikisha Mungu , utapata tu mkuuWivu hauwez kuisha mpaka nami nipate wa kunipa furaha[emoji22][emoji22]
I got you babe please make me feel alrightSasa punguza wivu ila zidisha jitihada kwenye kutafuta mtu sahihi huku ukimshirikisha Mungu , utapata tu mkuu
Ukiona anachelewa nitafute nikupeOh i cant wait na mienibebe ya Archduke