To my Archduke

To my Archduke

Mwenzio mwenzio nimechezwa na machale
Nitulize nitulie tuunge uunge tuoane
Kibanda tujenge, bahati ya mtende, acha mawenge tusimame dede - Amini (machale)

Archduke
 
wewe ndo wind of money?? beb nimecheka vibaya mno unajua we chizi 😀😀😀 michezo gani hii sijazoea mimi
Hahahahahahhahahhahahahahahhahaha utazoea tu kidogo dogo sawa eeh hahahahahaha Mungu wangu nacheka hapa akili zako unazijua mwenyewe ujue
 
Makosa ya moyo hayo, ila kupendwa raha... Unaweza kujiona dunia yote umeiweka mfukoni....
Ndio mimi vile nafeel right now, nataman nimgongee jiran nimwambie me napendwa huku hahaha mapenzi kitu kingine kabisa
 
Back
Top Bottom