Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujaelewa nin? halafu jf ipo ktk matengenezosiku ya pili nn?? Nieleweshe basi honey
ntakuelewa kesho, halafu unajua kenya.talk ni tusi???Baby umesema utanichapisha sasa ndio sjaelewa mm tutahamia kt
Dah... Ahsante kwa encouragement.Usikate tamaa, ujue kupotea njia ndio kujua njia, mapenzi hayana fundi wala bondia mkuu, utapata wako tena bila kutaraji utakua kama hivi amini hivo
andika kenya...talk hapa halafu uone kitatokea ninitusi?? Mh ndio kwanza nakusikia wewe hiyo kesho saa ngapi umesahau ni Monday kesho
Haya, ntajitahidi... Ingawa ntakuwa mgumu kumuamini mtu tena...Hamna namna subiria tu wakat ukiwa wasubiri jipende jichanganye na watu kua wew kama wewe kuna mtu tu huko utamvutia ulivyo muda utaongea
You are right...Binadam tumeumbwa kuganga yajayo, mkuu samehe sahau achana na ya nyuma unapokua na mtu mpya tambua hatujakamilika
Bachelors/singleMaseterz ukimaanisha nn
Nidedicatie basi na mimiNaukubali sana huu wimbo
Atakudedicate Saint IvugaNidedicatie basi na mimi