Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 343
- 1,021
Pole Sana but maintain serenityDepression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa,sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.
Things are not moving ,napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.
Am in btn devil and deep blue sea.
View attachment 2903809
Hauko peke yako watu wengi sana wanapitia hali ngumu ya uchumiDepression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa,sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.
Things are not moving ,napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.
Am in btn devil and deep blue sea.
View attachment 2903809
Thanks mkuu🙏Pole Sana but maintain serenity
Keep Prayers
Stay connected with ur work mate
I pray for you
Aminakwa yote watakayokushauri yafanyie kazi huku ukiwa na positive mindset jiwazie mema wewe kwanza
Shukrani mkuu, Mungu amuone whoever going through this situation.Hauko peke yako watu wengi sana wanapitia hali ngumu ya uchumi
Asante mkuu idea nzuriHama huo mkoa haraka sana
Njoo dar ila uwe na displine
Halafu wekeza Iringa
Mm nipo dar na kwa sasa napitia kipindi kingumu balaa..Hama huo mkoa haraka sana
Njoo dar ila uwe na displine
Halafu wekeza Iringa
Shukrani sana mkuuHusisha Mungu kwa maombi na uwashirikishe wafanyabiashara wenye uzoefu,kwani biashara huwa inakupanda na kushuka,hivyo watakueleza huwa wanafanyaje wanapokuwa katika nyakati ngumu...
To yeye wangu kwani na ww unapitia the same situation?Amina