Biashara nafanyia iringa..
0614228735
Naomba mje mnunue hata kisu nipate kusurvive wakuu🙏
Update 17/02/2024
JF family asanteni sana nyie watu,nilifanya maamuzi sahihi sana kuleta hili jambo langu hapa nilikua nishapotea kiakili na sikua na turning point kabisa.
Jf ni sehemu salama kabisa ya kuleta jambo lako lolote linalokusumbua wema wapo wengi sana humu. USIOGOPE
Asanteni wote mlionipigia simu,mlioniPM kunishauri na mliotoa ushauri wenu na kutoa shuhuda zenu hapa Mungu awabariki sana..
Nimekubaliana na hali kuwa nipo vibaya
Nimekubaliana na hali kuwa nadaiwa
Nimekubali kuwa natakiwa kuwalipa wanaonidai wote by any means
Nimekubali kuwa magumu siyapitii peke yangu and I have to get my $ss up
Hivyo NIISHI
Watu wameuliza kuhusu status yangu ya life,ni hii
Mimi ni Me 26yrs ,sijaoa wala sina mtoto ila nina mama zangu wawili wananitegemea
View attachment 2906383