To my JF family, nina DEPRESSION

To my JF family, nina DEPRESSION

Pole Sana Mkuu Kila Jambo Halidumu Milele.

Utulivu Ndio Kila Kitu Kwenye Nyakati Ngumu.

Kuna Watu Wanatamani Maisha Yako Ambayo Kwa Sasa Wewe Umeyakatia Tamaa.

Hujafail Kwa Kuwa Una Afya Njema Huna Sababu Ya Kukata Tamaa.
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

Am in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
Pole sana ndugu yangu. Wengi wanapitia haya, hauko peke yako. Hii picha ndiyo biashara yao au?
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

Am in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
Hiyo biashara haukuzaliwa nayo na bila shaka wakati unaianza haikuwa kubwa tu ghafla.

Uchumi haukuzaliwa nao uliutafuta kwa jasho lako.

Kama uliweza kuutafuta, ukaupoteza basi amini kwamba unaweza kuutafuta pia.

Relax waza namna bora ya kusolve matatizo yanakukumba badala ya kuwaza depression.

Kwa sasa jitahidi kupunguza madeni wakati ukimove taratibu.

Hakuna binadamu asiyepitia misukosuko kinachotofautisha ni aina ya misukosuko na namna tunavyoweza kupambana nayo.

Wanaume hatupaswi kulia in public.
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

Am in btn devil and deep blue sea.

View attachment 2903809
Unaingiza na kuspend kiasi gani?
 
Back
Top Bottom