To the grand SADC summit, Tanzania bought 35+ brand new presidential suit cars

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Tanzania inategemea kupata wageni zaidi ya 2000+ katika mkutano huu mkubwa ambao unafanyika kwa mara nyingine Tanzania baada ya kupita zaidi ya miaka 15 ambapo vile vile kutashughudiwa Tanzania ikitwaa uwenyekiti wa nchi za SADC

Mkutano huu unakisiwa kuiingizia Tanzania zaidi ya billions of shillings as the peripheral auxiliary summit enrolments in different branches

Tanzania inauza bidhaa zenye zaidi ya USD 1 billion na ndio soko kuu la exports business ukilinganisha na kanda nyingine za Afrika.

Tanzania pia atakuwa nchi ya kwanza katika historia ya SADC kwa kuwa Nwenyekiti na katibu kwa wakati mmoja, ikumbukwe kwamba katibu mtendaji wa sasa ni mtanzania.
 
Huwa huwa huwa........ Ina ina ina.......
Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
 
Unabisha? Tafuta orodha ya summit na confrence za kimataifa ambazo zilikuwa Kenya mwakani. Anza na Blue Economy Summit ambayo delegates tu walikuwa 11,000 kutoka nchi 180 kote duniani.
 
Tanzania pia atakuwa nchi ya kwanza katika historia ya SADC kwa kuwa Nwenyekiti na katibu kwa wakati mmoja, ikumbukwe kwamba katibu mtendaji wa sasa ni mtanzania.
Kabisa kabisa

Ikumbukwe pia SADC iliasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wakati huo Kenyatta yupo busy na zoezi la land grabbing and alienation processes for family and tribe sake.
 
Nmeandika kubisha kwani?
Unabisha? Tafuta orodha ya summit na confrence za kimataifa ambazo zilikuwa Kenya mwakani. Anza na Blue Economy Summit ambayo delegates tu walikuwa 11,000 kutoka nchi 180 kote duniani.
 
Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
Magari gani mnayo? Hayo tu ya IKULU yamejaa kunguni humo ndani na uvundo wa kutosha, kuna lile liliibwa likatoroshewa bongo nililiona humo ndani utafikiri kuna wakati uhuru anaogea humo.
 
Aisee kumbe wewe ndiwe jizi lililokuwa likisakwa? Ni lini wadanganyika mtaweza kujifanyia kazi muache kula jasho la wenyewe?
 
Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
Kenya mazoea mmepata wapi? Fala wewe? Au magari ya UNEP ya GoK?
 
Duh, nyi watu ni washamba kiasi gani.

Si nyinyi mko ndani ya SADC?
Si SADC huwa na heads of state meetings karibu kila mwaka?
Si nchi zengine zimekua ziki host hii mikutano?

Hapo hakuna lolote special? Si ni zamu yenu kupokea hao marais kama vile ni zamu ya Kenya mwaka huu ku host mkutano wa EAC heads of state, the only difference ni kwamba ndani ya EAC Marais ni watano tu ilhali ndani ya SADC Marais ni kama 16

Sasa Kuna nini Cha ajaabu kwamba hii ni zamu ya Tanzania kupokea hao Marais kwa mkutano huo???
Imepita miaka kumi na tano tangu Tanzania wawe wenyeji wa huu mkutano kwasababu kwa miaka hio 15 kila nchi ndani ya SADC imepewa nafasi ya ku host huo mkutano, Sasa rotation imerudi kwenu mnajisifia nini Wakati kila nchi ndani ya SADC ime host huo mkutano.
 
Kenya mazoea mmepata wapi? Fala wewe? Au magari ya UNEP ya GoK?
Magari gani mnayo? Hayo tu ya IKULU yamejaa kunguni humo ndani na uvundo wa kutosha, kuna lile liliibwa likatoroshewa bongo nililiona humo ndani utafikiri kuna wakati uhuru anaogea humo.
Sitawezana na hizi akili ambazo ziliathirika zamani sana na wali wa sisiemu wakati wa kampeni. Kwahivyo mmeaminishwa kwamba serikali tajiri ya 'donor country' pekee yake ndio wanamiliki magari? Hebu nileteeni takwimu za magari ambayo yalinunuliwa Tz 2018 alafu tulinganishe na takwimu za Kenya. Ile kauli yenu ya kubana matumizi iliangukia pua, au zilikuwa tu fixi za kuwapumbaza wafia chama? Eti mnanua magari kwasababu ya wageni? Ingekuwa ni ambulance au magari ya zima moto ningewaheshimu sana.
 
Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
Nenda Kenya sasa hiku tuache
 
Tulivyo manyani hela yote itakayo patikana inaenda kuteketezwa kwenye uchaguzi lengo ni kuwamaliza washindani wake 😏
 
Tuliambiwa watakuja marais wengi na watu wengi kama elfu mbili na kumi na nne kwa ajili ya mkutano wa SADC na tukaambiwa tusiende bila kuoga mjini, vipi mkutano unaendeleaje huko?
 
Duh, nyi watu ni washamba kiasi gani.

Si nyinyi mko ndani ya SADC?
Si SADC huwa na heads of state meetings karibu kila mwaka?
Si nchi zengine zimekua ziki host hii mikutano?

Hapo hakuna lolote special? Si ni zamu yenu kupokea hao marais kama vile ni zamu ya Kenya mwaka huu ku host mkutano wa EAC heads of state, the only difference ni kwamba ndani ya EAC Marais ni watano tu ilhali ndani ya SADC Marais ni kama 16

Sasa Kuna nini Cha ajaabu kwamba hii ni zamu ya Tanzania kupokea hao Marais kwa mkutano huo???
Imepita miaka kumi na tano tangu Tanzania wawe wenyeji wa huu mkutano kwasababu kwa miaka hio 15 kila nchi ndani ya SADC imepewa nafasi ya ku host huo mkutano, Sasa rotation imerudi kwenu mnajisifia nini Wakati kila nchi ndani ya SADC ime host huo mkutano.
We una mapepo nini?
 
Ni ujinga wa hali ya juu kununua gari kisa mgeni wasl siku moja bora wangekodisha au wangechukua magari ya ma rc na ma dc
Huku tumeambiwa tusiende mjini kati kama hatujaoga. La sivyo utakutana na rungu la mgambo.
 
Back
Top Bottom