mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Poleni kwa mkasa was Moto. RIPKeep talking about Zilipendwa news ili ujifurahishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni kwa mkasa was Moto. RIPKeep talking about Zilipendwa news ili ujifurahishe
Aswaa ndio.Wamefanya jambo jema! Kwenye kuapishwa kwa JK, marais wa mataifa mabli mbali wote walijazwa kwenye dala dala moja (Coaster) utadhani abiria wa Magomeni - Mbagala... (Nahisi kuna wengine walisimama kwa kukosa siti 😡😕😛) Marais waliudhika sana nadhani hawakupenda tena kurudi Tz kwa ubebwaji ule toka uwanja wa taifa...
Hii ya sasa ndio kitu ya hadhi yao...
Namuomba Prof Kabudi baada ya mkutano kuisha anitupie ka Benz kamoja ili kijana wake nitesee huku kitaa 😀