Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Alie andika haya maneno ndo ni lazima awe na kichaa Cha kuku .. "Tanzania bought 35+ brand new presidential suit cars"We una mapepo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alie andika haya maneno ndo ni lazima awe na kichaa Cha kuku .. "Tanzania bought 35+ brand new presidential suit cars"We una mapepo nini?
Magari munanunua nyie zaidi ya kuhesabu ya Uganda kama yenu! Unaweza ukashindana na nchi yenye mining activities kila mahali kwa idadi ya magari?Unabisha? Tafuta orodha ya summit na confrence za kimataifa ambazo zilikuwa Kenya mwakani. Anza na Blue Economy Summit ambayo delegates tu walikuwa 11,000 kutoka nchi 180 kote duniani.![]()
11,000 delegates expected at Kenya's Blue Economy summit
NAIROBI, Kenya, Nov 20 - Eleven Heads of State are among 180 delegations expected in Nairobi next week as Kenya's inaugural Blue Economy Summit kicks off. Foreign Affairs Cabinet Secretary Monica Juma said on Tuesday over 11,000 delegates have already confirmed participation at the Sustainable...www.capitalfm.co.ke
[emoji1][emoji1][emoji1] Cheza chini budaboss.Alie andika haya maneno ndo ni lazima awe na kichaa Cha kuku .. "Tanzania bought 35+ brand new presidential suit cars"
Tuliambiwa watakuja marais wengi na watu wengi kama elfu mbili na kumi na nne kwa ajili ya mkutano wa SADC na tukaambiwa tusiende bila kuoga mjini, vipi mkutano unaendeleaje huko?
Acha ukibwengo wewe. Kwahivyo kwasababu hata na nyinyi pia mna bandari inamaana kwamba huwa mnahesabu magari ya majirani ambayo huwa yanapita kwenu? Hebu focus mzee.Magari munanunua nyie zaidi ya kuhesabu ya Uganda kama yenu! Unaweza ukashindana na nchi yenye mining activities kila mahali?
Huku tumebiwa tusiende mjini kati kama hatujaoga. La sivyo utakutana na rungu la mgambo.
Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
Kwenye summit ipi? Maanake ni nyingi mno. U.N., COMESA(nchi 21) hivi majuzi au Blue Economy? Blue Economy Summit ilihudhuriwa na delegates rasmi kutoka nchi 180 duniani. Hapo ni marais, mawaziri husika na stakeholders wengine.Delegates mliohost walikuwa ni wa level gani?
Viva TanzaniaTanzania inategemea kupata wageni zaidi ya 2000+ katika mkutano huu mkubwa ambao unafanyika kwa mara nyingine Tanzania baada ya kupita zaidi ya miaka 15 ambapo vile vile kutashughudiwa Tanzania ikitwaa uwenyekiti wa nchi za SADC
Mkutano huu unakisiwa kuiingizia Tanzania zaidi ya billions of shillings as the peripheral auxiliary summit enrolments in different branches
Tanzania inauza bidhaa zenye zaidi ya USD 1 billion na ndio soko kuu la exports business ukilinganisha na kanda nyingine za Afrika.
Nyie watu mtakuja kunivunja mbavu siku moja. Sa' unamdharau mwenzako kisa kasema watanzania ni wachafu LOL 😂 doupHili Jukwaa siyo size yako.
Na bado mwisho wa mwaka huu Kenya ina-host kongamano la ACP summit yaani African, Caribbean and Pacific Group of States.Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
Kwani kuna ubaya gani apoNa bado mwisho wa mwaka huu Kenya ina-host kongamano la ACP summit yaani African, Caribbean and Pacific Group of States.
Kuna tatizo ?
Nilisikia eti wengine wenu mna chawa na hampendi kuogaHuku tumeambiwa tusiende mjini kati kama hatujaoga. La sivyo utakutana na rungu la mgambo.
ACHA USHAMBA, HAWATANGAZI TU, KWANI HAO WAGENI WANAPANDA MATATU?Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.