To the grand SADC summit, Tanzania bought 35+ brand new presidential suit cars

To the grand SADC summit, Tanzania bought 35+ brand new presidential suit cars

Wamefanya jambo jema! Kwenye kuapishwa kwa JK, marais wa mataifa mabli mbali wote walijazwa kwenye dala dala moja (Coaster) utadhani abiria wa Magomeni - Mbagala... (Nahisi kuna wengine walisimama kwa kukosa siti 😡😕😛) Marais waliudhika sana nadhani hawakupenda tena kurudi Tz kwa ubebwaji ule toka uwanja wa taifa...
Hii ya sasa ndio kitu ya hadhi yao...
Namuomba Prof Kabudi baada ya mkutano kuisha anitupie ka Benz kamoja ili kijana wake nitesee huku kitaa 😀
Aswaa ndio.
 
Kwanini wasingenunua mabasi tu. Magari yote haya baada ya mkutano yatafanya kazi gani...au kamati wataamua kugawana kwa bei ya nyanya?
 
Hakuna tatizo...

Cha muhimu ni kuweka mahesabu vizuri na taratibu za manunuzi kuzingatiwa ili CAG anapokuja kukagua kusiwe na longo longo hadi kuitana kwenye kamati za maadili...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom