Tanzania pia atakuwa nchi ya kwanza katika historia ya SADC kwa kuwa Nwenyekiti na katibu kwa wakati mmoja, ikumbukwe kwamba katibu mtendaji wa sasa ni mtanzania.Tanzania inategemea kupata wageni zaidi ya 2000+ katika mkutano huu mkubwa ambao unafanyika kwa mara nyingine Tanzania baada ya kupita zaidi ya miaka 15 ambapo vile vile kutashughudiwa Tanzania ikitwaa uwenyekiti wa nchi za SADC
Mkutano huu unakisiwa kuiingizia Tanzania zaidi ya billions of shillings as the peripheral auxiliary summit enrolments in different branches
Tanzania inauza bidhaa zenye zaidi ya USD 1 billion na ndio soko kuu la exports business ukilinganisha na kanda nyingine za Afrika.
Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
Huwa huwa huwa........ Ina ina ina.......
Unabisha? Tafuta orodha ya summit na confrence za kimataifa ambazo zilikuwa Kenya mwakani. Anza na Blue Economy Summit ambayo delegates tu walikuwa 11,000 kutoka nchi 180 kote duniani.Huwa huwa huwa........ Ina ina ina.......
Kabisa kabisaTanzania pia atakuwa nchi ya kwanza katika historia ya SADC kwa kuwa Nwenyekiti na katibu kwa wakati mmoja, ikumbukwe kwamba katibu mtendaji wa sasa ni mtanzania.
Unabisha? Tafuta orodha ya summit na confrence za kimataifa ambazo zilikuwa Kenya mwakani. Anza na Blue Economy Summit ambayo delegates tu walikuwa 11,000 kutoka nchi 180 kote duniani.11,000 delegates expected at Kenya's Blue Economy summit
NAIROBI, Kenya, Nov 20 - Eleven Heads of State are among 180 delegations expected in Nairobi next week as Kenya's inaugural Blue Economy Summit kicks off. Foreign Affairs Cabinet Secretary Monica Juma said on Tuesday over 11,000 delegates have already confirmed participation at the Sustainable...www.capitalfm.co.ke
Magari gani mnayo? Hayo tu ya IKULU yamejaa kunguni humo ndani na uvundo wa kutosha, kuna lile liliibwa likatoroshewa bongo nililiona humo ndani utafikiri kuna wakati uhuru anaogea humo.Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
Aisee kumbe wewe ndiwe jizi lililokuwa likisakwa? Ni lini wadanganyika mtaweza kujifanyia kazi muache kula jasho la wenyewe?Magari gani mnayo? Hayo tu ya IKULU yamejaa kunguni humo ndani na uvundo wa kutosha, kuna lile liliibwa likatoroshewa bongo nililiona humo ndani utafikiri kuna wakati uhuru anaogea humo.
Kenya mazoea mmepata wapi? Fala wewe? Au magari ya UNEP ya GoK?Nadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
Kenya mazoea mmepata wapi? Fala wewe? Au magari ya UNEP ya GoK?
Sitawezana na hizi akili ambazo ziliathirika zamani sana na wali wa sisiemu wakati wa kampeni. Kwahivyo mmeaminishwa kwamba serikali tajiri ya 'donor country' pekee yake ndio wanamiliki magari? Hebu nileteeni takwimu za magari ambayo yalinunuliwa Tz 2018 alafu tulinganishe na takwimu za Kenya. Ile kauli yenu ya kubana matumizi iliangukia pua, au zilikuwa tu fixi za kuwapumbaza wafia chama? Eti mnanua magari kwasababu ya wageni? Ingekuwa ni ambulance au magari ya zima moto ningewaheshimu sana.Magari gani mnayo? Hayo tu ya IKULU yamejaa kunguni humo ndani na uvundo wa kutosha, kuna lile liliibwa likatoroshewa bongo nililiona humo ndani utafikiri kuna wakati uhuru anaogea humo.
Nenda Kenya sasa hiku tuacheNadhani hamna mazoea ya kupata wageni, kununua magari kwasababu ya wageni ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kenya huwa ina'host' mikutano na summit kubwa sana za kimataifa ila hutasikia vitu vya ajabu kama hivi hata siku moja.
We una mapepo nini?Duh, nyi watu ni washamba kiasi gani.
Si nyinyi mko ndani ya SADC?
Si SADC huwa na heads of state meetings karibu kila mwaka?
Si nchi zengine zimekua ziki host hii mikutano?
Hapo hakuna lolote special? Si ni zamu yenu kupokea hao marais kama vile ni zamu ya Kenya mwaka huu ku host mkutano wa EAC heads of state, the only difference ni kwamba ndani ya EAC Marais ni watano tu ilhali ndani ya SADC Marais ni kama 16
Sasa Kuna nini Cha ajaabu kwamba hii ni zamu ya Tanzania kupokea hao Marais kwa mkutano huo???
Imepita miaka kumi na tano tangu Tanzania wawe wenyeji wa huu mkutano kwasababu kwa miaka hio 15 kila nchi ndani ya SADC imepewa nafasi ya ku host huo mkutano, Sasa rotation imerudi kwenu mnajisifia nini Wakati kila nchi ndani ya SADC ime host huo mkutano.
Huku tumeambiwa tusiende mjini kati kama hatujaoga. La sivyo utakutana na rungu la mgambo.Ni ujinga wa hali ya juu kununua gari kisa mgeni wasl siku moja bora wangekodisha au wangechukua magari ya ma rc na ma dc