‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
namshukuru Mungu, wangu ni mke wangu wa ndoa, nilikutana naye tukiwa form four, tukasubiriana, mwisho nikapeleka mahali, alinisaidia mahali ipungue na aliwaambia wazazi wake wasinitoze nyingi kwani hela hizo anazihitaji tukajenge maisha, alichanganyikiwa na love kwangu kabisa, amenizaliwa watoto 6 sasa, nampenda, ananiheshimu, kila siku kwangu yeye ni mpya, tupo kama mapacha, ukitaka kugombana na wote gombana na mmoja, sijui nisingemuoa huyu ningefanyaje manake kanivumilia mengi na ni uhalisia kabisa ya watu wawili kuwa mwili mmoja, tumepita mitihani mingi pamoja, hajawahi kunidharau, amekuwa upande wangu, ni mwanamke real anamaanisha anachokifanya toka moyoni na asichokitaka anaonyesha toka moyoni, sio mnafiki kabisa kabisa, ana hofu ya Mungu. Mungu ni wa ajabu sana. Asante Yesu.
 
Barikiwa sana
 
Shem kama shem
Unaweza kumtunza lakin dada angu hatutaki maneno maneno☺️☺️☺️
Usiulize vumbi Kigoma, nimejizatiti kuhakikisha To Yeye anaishi vizuri sio kusogeza siku 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
namshukuru Mungu, wangu ni mke wangu wa ndoa, nilikutana naye tukiwa form four, tukasubiriana, mwisho nikapeleka mahali, alinisaidia mahali ipungue na aliwaambia wazazi wake wasinitoze nyingi kwani hela hizo anazihitaji tukajenge maisha, alichanganyikiwa na love kwangu kabisa, amenizaliwa watoto 6 sasa, nampenda, ananiheshimu, kila siku kwangu yeye ni mpya, tupo kama mapacha, ukitaka kugombana na wote gombana na mmoja, sijui nisingemuoa huyu ningefanyaje manake kanivumilia mengi na ni uhalisia kabisa ya watu wawili kuwa mwili mmoja, tumepita mitihani mingi pamoja, hajawahi kunidharau, amekuwa upande wangu, ni mwanamke real anamaanisha anachokifanya toka moyoni na asichokitaka anaonyesha toka moyoni, sio mnafiki kabisa kabisa, ana hofu ya Mungu. Mungu ni wa ajabu sana. Asante Yesu.
Mkuu una maana gani, mbona unataka kuniletea usiku tena
 
usiku gani tena, hapo nimekupa ushuhuda wa jinsi nami mtoto wa mamamkwe alivyokuwa ameuteka moyo wangu, na huyo huyo hajaniponyoka kama wewe ulivyokimbiwa, nimemuoa na ana watoto wangu, na nilimkuta bikra wala simaanishi huyo nung'ayembe wako.
 
Angalia labda utakuwa umemfananisha, To Yeye ni wangu jaman, ww umetokea wapi tena
 
Back
Top Bottom